Yanga ingekuwa na kikosi kama cha Simba msimu huu wangekaribia hata kombe

uhurumoja

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2014
Posts
9,616
Reaction score
22,521
Yanga ingekuwa na kikosi kama Cha Simba na hela za Mo hizo hizo anazotoa kipindi kile Simba anachukua ubingwa mara 4 Simba wasingekaribia hata kidogo Hilo kombe

Imagine una kocha mzuri wachezaji wazuri udhamini mzuri na unashika nafasi ya 3 kwa vimigogoro vya kutengeneza
 
Kwani Rage alivowaita mbumbumbu hukumwelewa?
 
Simba hata tuwe nafasi ya 10 Yanga hamwezi kulala kwa presha,sisi ndo agenda yenu.
 
Yanga ingekuwa na kikosi kama Cha Simba na hela za Mo hizo hizo anazotoa kipindi kile Simba anachukua ubingwa mara 4 Simba wasingekaribia hata kidogo Hilo kombe

Imagine una kocha mzuri wachezaji wazuri udhamini mzuri na unashika nafasi ya 3 kwa vimigogoro vya kutengeneza
Migogoro ya kutengeneza unaiona halafu unakaa kimyaa, are you ok upstairs?, Na hiki Ndiyo kipimo cha uzembe na unijinga, (laziness and ignorance)
 
Back
Top Bottom