Yanga ipewe pongezi kwa ubunifu wao katika soka duniani

Yanga ipewe pongezi kwa ubunifu wao katika soka duniani

Attachments

  • 1708663916825.jpg
    1708663916825.jpg
    346.4 KB · Views: 1
Mbumbumbu FC, a.k.a Ngada FC wakajifanya kuiga banaa..!! Si wakajifanya eti sijui mgeni rasmi fyokofyokofyokofyokoooo..!!! Mgeni rasmi akala gwalaaa..!! a.k.a kono la nyani..!! Na wakaishia hapo hapo na mambo yao ya mgeni rasmi..!! Walimdhalilisha sana Kibu..!!
Kibu de .
Kibu pira shaolin..
 
Back
Top Bottom