Yanga ipo mbioni kumsainisha kiungo machachari "fundi,mnyumbulifu" kutoka zesco

Mjiandae kupeleka chakula segerea kwa viongozi wenu mikia fc

Sawa nimekuelewa mnazi wa Ngada FC., na ninyi mjiandae pia maana mtetezi wenu Mali hizi naye si yupo kule?
 
Kwa hiyo na sisi tutaanza kuitwa Son of Cow FC, ama? Maana nasikia mwenyekiti wetu kafanya kama alivyofanya Ndama mtoto wa Ng'ombe.
 
Huyu ni mzimbabwe aliyekwenda Zesco kuziba pengo lililoachwa na kiungo Fackson Kapumbu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…