Yanga isipocheza fainali za CAF champions niiteni zumbulugutu

Yanga isipocheza fainali za CAF champions niiteni zumbulugutu

Naona Ile kauli maarufu na pendwa INAZIDI KUISHI.

Hakika Wenye akili ni wawili tu

1. Mzee KIKWETE na

2. Mzee SANDAY Manara tu.
Hakuna timu Afrika itachekelea kupangiwa kucheza na Yanga. Eng. Hersi anafurahishwa na mafanikio ya timu sio fedha mfukoni mwake.
 
Hizi hesabu Mamelod alipiga kitambo sana
Timu zote zinafahamu kuwa Yanga imeinyang'anya "Simba timu Bora Afrika" ubingwa wa ligi kwa misimu 2 Sasa, ilicheza final ya CAF confederation na US Algers na kujifunga US Algers kwao, imeingia makundi bila sare wala kufungwa na inaongoza ligi ambayo hata Simba, Azam na Singida big stars wamo humo. Kama wanaiogopa Simba kwanini wasiiogope zaidi Yanga? Maana yake kama Simba inawasumbua basi Yanga itawasumbua zaidi.
 
Sio kwamba Yanga hawaiogopi la hasha!!! Yanga imecheza cafconf fainali ni timu kubwa.... Sasa hili kombe la CAF lina wenyewe... Kiufupi nenda kaangalie marudio ya Wydad na Mamelod na Ahyl na Wydad utanielewa. Kuna muda unacheza wewe unatokq wewe
 
Unajitia aibu mkuu, mtoano hauna point, kwa akili yako utasema yanga kaingia makundi kwa points 6
Usijitafutie kichaka cha kujificha. Kila mechi Ina ukubwa wa pt 3 maximun na 0 minimum, na sare ya point 01. Simba kapata sare 2 au sivyo? Yaani imeingia makundi kinyonge kwa goli la ughaibuni au sivyo?
 
Simba inacheza chini ya kiwango msimu huu lakini hio sio guarantee ya huu ujinga ulioandika wewe zumbulungutu
 
Back
Top Bottom