Yanga isipojiamini kupitiliza itatoboa Fainali!! Gallants wapo nafasi za mwisho ligi kuu ya Africa Kusini lakini si wa kubezwa

Yanga isipojiamini kupitiliza itatoboa Fainali!! Gallants wapo nafasi za mwisho ligi kuu ya Africa Kusini lakini si wa kubezwa

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Fu-wDIqWIAEk4Pa

Yanga itacheza dhidhi ya Marumo Gallants FC ya Afrika Kusini katika hatua ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika.

Marumo Gallants ipo nafasi za mwisho ligi kuu ya Africa kusini ila imeweza kupambana mpaka kufikia nusu fainali,

Marumo Gallants imeitoa Pyramids FC ya Misri kwa jumla ya magoli 2-1.
 
Fu-wDIqWIAEk4Pa

Yanga itacheza dhidhi ya Marumo Gallants FC ya Afrika Kusini katika hatua ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika.

Marumo Gallants ipo nafasi za mwisho ligi kuu ya africa kusini ila imeweza kupambana mpaka kufikia nusu fainali,

Marumo Gallants imeitoa Pyramids FC ya Misri kwa jumla ya magoli 2-1.
Kuwa wa mwisho kwenye ligi yao sio kipimo cha ubovu au ubora, hizi ni mashindano mawili tofauti. Kabylie ameshika yupo kwenye kushuka daraja lakini kafuzu robo fainali klabu bingwa na akawatoa jasho Es Tunis kwenye mechi ya robo fainali japo wametolewa.
 
Back
Top Bottom