babu onyango
JF-Expert Member
- Jan 12, 2023
- 378
- 984
Una uhakika lilikuwa kombe la shirikisho?Mimi ni mwananchi halisi lakini sioni aibu kusema Simba ilishafika fainali ya kombe la shirikisho na kupoteza Kwa Stella Artois1993.
Mchezo ulichezwa Kwa siku mbili.
Wenye kumbukumbu nzuri tukumbusheni
Mkuu hilo halikuwa kombe la shirikisho, hebu pitia vyanzo vyako vya taarifa tenaMimi ni mwananchi halisi lakini sioni aibu kusema Simba ilishafika fainali ya kombe la shirikisho na kupoteza Kwa Stella Artois1993.
Mchezo ulichezwa Kwa siku mbili.
Wenye kumbukumbu nzuri tukumbusheni
Simba ni bingwa wa nini?Rekodi ipi wakati haichezi hata ligi ya mabingwa?
Mkuu hilo halikuwa kombe la shirikisho, hebu pitia vyanzo vyako vya taarifa tena
Waulize CAF. Tena usiishie hapo, waulize kwa nini wameichagua icheze Super League kabla ligi ya NBC haijaisha, bila kujali itashuka daraja au laSimba ni bingwa wa nini?
Tp Mazembe ni timu ya pili yenye mafanikio makubwa barani Afrika baada ya Al Ahly, bingwa mara 6 Afrika na amekugaragaza mara zote ulizokutana naye hadi mechi za kirafikiAmka, utakuja kujikojolea. Angalia timu alizozifunga! Monastir tu imewashinda.
Kwaio hicho kipande cha karatasi ndio kina justify hoja Yako? Nikisema hivi nawewe utaamini?Acha uongo na rekodi za mchongo, yaani unataka kufuta rekodi za Simba kirahisi hivyo?
1. Simba ilifika hatua ya Fainali ya Kombe la CAF mwaka 1993
2. Simba ilifika hatua ya Nusu Fainali ya Klabu Bingwa Afrika mwaka 1974
View attachment 2544038
Mkuu Hawa ndugu zetu ni mbumbumbu. Hata hawajui iyo 1993 walicheza kombe gani, bahati mbaya hata hawawezi ku google kujua walichezaji mashindano ganiUna uhakika lilikuwa kombe la shirikisho?
Mbona unarukaruka, si usimame kwenye hoja ya uzi wako kwamba Yanga ndio itakuwa timu ya kwanza Tanzania kwenye michuano ya Afrika kufika Nusu Fainali? Usiukimbie uzi wako, endelea hivyo hivyo. Ndio mkome kuanzisha nyuzi wakati hamna dataKwaio hicho kipande cha karatasi ndio kina justify hoja Yako? Nikisema hivi nawewe utaamini?
Mkuu Hawa ndugu zetu ni mbumbumbu. Hata hawajui iyo 1993 walicheza kombe gani, bahati mbaya hata hawawezi ku google kujua walichezaji mashindano gani
Kawaulize CAFSimba ni bingwa wa nini?
Hahahahaha... Ilo haliondoi ukweli Yanga imeinuka na ni suala la muda tu heshima yake itatambulika Afrika sio kwa kufika tu robo fainali bali kwa kuwa mshindani wa vikombe barani Afrika.Waulize CAF. Tena usiishie hapo, waulize kwa nini wameichagua icheze Super League kabla ligi ya NBC haijaisha, bila kujali itashuka daraja au la
Leo utakoma, unaleta rekodi za mchongoKwaio hicho kipande cha karatasi ndio kina justify hoja Yako? Nikisema hivi nawewe utaamini?View attachment 2544053