Yanga itaenda kuvunja rekodi zote zilizowekwa na Simba kimataifa

Wewe ni mtoto wa Jana Kombe ambalo yanga anaongoza kuchukua kabla ya kua ligi kuu tz bara liitwaje na kwann wameonganisha na yanga ana ongoza kuchukua kwann isifutwe sababu alikuitwa ligi kuu bara na tofauti yake lime onganishwa?
 
Mimi ni mwananchi halisi lakini sioni aibu kusema Simba ilishafika fainali ya kombe la shirikisho na kupoteza Kwa Stella Artois1993. Mchezo ulichezwa Kwa siku mbili. Wenye kumbukumbu nzuri tukumbusheni

Itakuwa umekunywa ulanzi wee mwananchi una kulevya
 
Ni sawa na Simba aje kushindwa katika mechi ya fainali katika CAF Super Cup halafu uwaite kichwa cha mwendawazimu, hilo linaingia akilini kweli? Na wale ambao hawakuwa na hata sifa za kushiriki tuwaitaje? Jaribuni kuepuka aibu ndogo ndogo kama hizi, please!
 
Sio kwa kupuyanga huko rudi kasome tena hata google
 
Ingia hata dugle ukajionee , ingawa umejitahidi kufafanua lakini umepuyanga sana[emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 
Hiyo ndiyo ikasababisha hadi Rais akaacha shughuli yake kuja uwanjani? Hadi mdhamini akatoa ahadi za magari kwa wachezaji?
Ndiyo,mdhamini si hakutegemea timu kufika huko,maana timu mbili zilijitoa kwa kukosa nauli ya kuja dar
 
Kwa hiyo CAF waliwaonea kuwaweka kwenye mashindano ya vilaza?
Huku al hilal na Simba zikiwekwa mabingwa?
Hutokea kwenye mashindano ya mtoano timu Bora kutolewa na mbovu kuingia/kufanikiwa,1992 Denmark hakufuzu euro lakini ndiye alilibeba baada ya kupata nafasi iliyoachwa na nchi mojawapo iliyofuzu,kabla ya hapo kwa hoja zako ungesema Denmark haikua timu bora
 
Kwa hiyo Yanga tangia mwaka 1998 inaandamwa na bahati mbaya tu...!?
 
Lhiyo Yanga tangia mwaka 1998 inaandamwa na bahati mbaya tu...!?
Labda Kama unaongelea klabu bingwa,Ila Kama kufika makundi CAF kafika Mara mbili hapa kati,na Mara zote akitolewa na Al ahliy,hata nani afrika hii akitane na ahli hatua ya makundi,hatoboi,ahli alimtoa yanga kwa penalty na Mara ya pili yanga alisawazisha kule Cairo ahli wakaongeza goli dk za majeruhi na wakashangilia dk 4 na refa akamaliza mpira,tangu 98 timu zetu hazikua Bora,zilikua na ukata,kwa Sasa makundi CAF itakua kawaida na wakiwekeza vizuri robo itakua kawaida Sana hasa kwa yanga,Simba anatakiwa fanya overhaul,wazee wengi pale
 
Siongelei mashindano ya walioshindwa, nazungumzia Champions League ambayo ndio ilikuwa ndoto kubwa ya Yanga, kufika makundi ya Champions league.

Umesema Yanga inamfunga yoyote, nikakuuliza inakuaje ipo kwa waliofeli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…