IBRA wa PILI
JF-Expert Member
- Oct 12, 2017
- 1,503
- 2,426
Wewe ni mtoto wa Jana Kombe ambalo yanga anaongoza kuchukua kabla ya kua ligi kuu tz bara liitwaje na kwann wameonganisha na yanga ana ongoza kuchukua kwann isifutwe sababu alikuitwa ligi kuu bara na tofauti yake lime onganishwa?Wewe ni kijana wa juzi, iko hivi kabla ya 1992 mashindano ya Afrika yalikuwa ni mawili tu yaani African Cup of Champions Clubs ambayo ndio Sasa tunaita Caf Champions league na African Cup Winner's Cup ambalo sasa ndio tunaita Shirikisho.
Ni kweli mwaka 1992 Caf walianzisha shindano lingine la tatu ambalo linaitwa
Caf cup ndilo hili Simba alifika fainali iyo mwaka 1993 na kupoteza hapa hapa nyumbani Uwanja wa uhuru kwa goli 2-0 dhidi ya Stella Abidjan
Na niwakumbushe tu kuwa huo mwaka 1993, Al Ahly ndio walikuwa mabingwa wa African Cup Winner' s Cup Kwa kumfunga Africa Sports National goli 1-0 na kuwa Mabingwa wa Afrika kwa mashindano hayo yaliyokuwa na hadhi ya pili barani Afrika.
Ni upotoshaji wa kimakusudi kusema Simba amewahi kufika fainal kombe lenye Hadhi ya pili Kwa ukubwa barani Afrika maana hata Caf wenyewe hawana hizo taarifa ninyi mnazitoa wapi?
Labda kama utataka kujifuza zaidi nikueleweshe nini mantiki ya kuanzisha kombe hili la Caf Cup na washiriki wake walikuwa wanapatikana vipi