Yanga itaenda kuvunja rekodi zote zilizowekwa na Simba kimataifa

Unachanganya preliminary stage na makundi, kwenye makundi mara mbili zote alikuwa nafasi ya mwisho. Zile zilikuwa ni mechi za kuwania kuingia kwenye club bingwa.
 
Kombe la shirikisho limetokana CAF Cup na African Cup Winners' Cup na si vinginevyo kama wewe ulivyoeleza.

Mbona Kila kitu kiko wazi ila mnapenda ubishi wa kijinga !!!!
Tutajie timu ya kwanza kuchukua kombe la CAF confederation cup
 
Kombe la shirikisho limetokana CAF Cup na African Cup Winners' Cup na si vinginevyo kama wewe ulivyoeleza.

Mbona Kila kitu kiko wazi ila mnapenda ubishi wa kijinga !!!!
We jamaa ni mwehu, kasome alochoandika afu urudi tena
 
Umesoma vizuri maelezo ya jamaa wa kwanza au ?
Rudi wewe kasome, amekuambia Confederation cup imeanza rasmi 2004 baada ya kuunganishwa mashindano mawili, Winners Cup Na CAF cup. We ulichopost umekisoma kweli?
 
Yanga robo fainai out
Simba robo fainai out

Kuchukua club bingwa au shirikisho inahitaji club zetu Simba na yanga ziwe na champions material Time and money over

Watani wa jadi Asante kwa kushiriki tukutane msimu ujao
 
Inamaana hujui tumewakung'uta na hao TP Mazembe 3-1 ambao waliwatandika 4 - 0 mwaka 2019
Mbona Vipers wamepigwa nje ndani na Simba wakati wewe walikupiga 2 bila. Uto wenye akili ni wawili tu.
 
Rudi wewe kasome, amekuambia Confederation cup imeanza rasmi 2004 baada ya kuunganishwa mashindano mawili, Winners Cup Na CAF cup. We ulichopost umekisoma kweli?
Sasa ulichoandika hapa ndicho nilichopost, na sicho kilichoandikwa na huyo jamaa.

Kwa mujibu wa huyo mtu anadai hapo mwanzo kulikuwa na mashindano mawili ambayo champion league na Winners cup ambayo Sasa ni kombe shirikisho, na baadaye likaundwa CAF cup ambayo hilo ndio simba alifika fainali, ambalo hilo kombe halijulikani na hata wenyewe CAF.

Hivyo huyo alikuwa anapinga kuwa Simba haijawai kufika fainali kombe la shirikisho.

Nadhani popoma utakuwa umeelewa wapi mimi na yeye tuliopokuwa na tofauti.

Ukweli ni kwamba kombe la shirikisho halijatokana na Winners cup peke yake bali limetokana na Winners cup na CAF cup
 
Rudi wewe kasome, amekuambia Confederation cup imeanza rasmi 2004 baada ya kuunganishwa mashindano mawili, Winners Cup Na CAF cup. We ulichopost umekisoma kweli?
Muwe mnasoma vizuri kabla ya kujibu watu

nyambaf..
 
CAF CUP haikuwa shirikisho sasa usichoelewa ni nini? CAF WINNERS ndio ilitambulika kama Shirikisho mbona unakaza ubongo???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…