Labda Kama unaongelea klabu bingwa,Ila Kama kufika makundi CAF kafika Mara mbili hapa kati,na Mara zote akitolewa na Al ahliy,hata nani afrika hii akitane na ahli hatua ya makundi,hatoboi,ahli alimtoa yanga kwa penalty na Mara ya pili yanga alisawazisha kule Cairo ahli wakaongeza goli dk za majeruhi na wakashangilia dk 4 na refa akamaliza mpira,tangu 98 timu zetu hazikua Bora,zilikua na ukata,kwa Sasa makundi CAF itakua kawaida na wakiwekeza vizuri robo itakua kawaida Sana hasa kwa yanga,Simba anatakiwa fanya overhaul,wazee wengi pale