Yanga itaenda kuvunja rekodi zote zilizowekwa na Simba kimataifa

Yanga itaenda kuvunja rekodi zote zilizowekwa na Simba kimataifa

Aisee we ni taahira wakutupwa? Yaani timu fulani kumfunga timu fulani hayo unaita mafanikio?
Unaelewa maana ya mafanikio wewe?
Halafu izo hatua zote mbaazo Simba imefika Yanga ndio mwanzilishi wake kama ulikuwa hujui.

Mwaka 1969, 1970 na 1998 Yanga kaingia iyo robo fainali ya klabu bingwa Afrika na wala huwezi kuona wanajivunia kwa maana iyo ni hatua tu na sio mafanikio.

Pia huko huko shirikisho izo robo fainali mbona Yanga kaingia mwaka 1995 na 2016?
We ndio wale mbumbumbu aliowasema Adeni rage
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu leta ushahidi hapaaa
Usitake watu tuvunje mbavuu, niletee ushahidi hapaa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Yanga ipi iliyofika robo fainali shirikisho mwaka 2016
Watu wanachekesha humu ndaniii had baas, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
2016 ROBO FAINALI ndio ilikuwa makundi, kipindi hiko Makundi huwa mawili 2. KUNDI A, & B hivyo hiyo huitwa ROBO FAINALI
Acha uongo wakooo hapaaa.
Makundi sio Robo final.

Kawadanganye FB hukooo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hyo robo fainali ilicheza na timugani ili ifike nusu fainali....[emoji3][emoji3][emoji3]
2016 plus 2018 utoporoooo mliburuza mkia hatua ya makundi shirikisho mlikua wa mwisho watu walikua wakijipigia nje ndani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utopolooo wamevurugwaaa vibayaaaaa mnooo hawana pa kushikaaaa, lol
 
Back
Top Bottom