cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu leta ushahidi hapaaaAisee we ni taahira wakutupwa? Yaani timu fulani kumfunga timu fulani hayo unaita mafanikio?
Unaelewa maana ya mafanikio wewe?
Halafu izo hatua zote mbaazo Simba imefika Yanga ndio mwanzilishi wake kama ulikuwa hujui.
Mwaka 1969, 1970 na 1998 Yanga kaingia iyo robo fainali ya klabu bingwa Afrika na wala huwezi kuona wanajivunia kwa maana iyo ni hatua tu na sio mafanikio.
Pia huko huko shirikisho izo robo fainali mbona Yanga kaingia mwaka 1995 na 2016?
We ndio wale mbumbumbu aliowasema Adeni rage
Usitake watu tuvunje mbavuu, niletee ushahidi hapaa.