Mtanzanias
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 1,747
- 3,725
Ni wazi yanga hawakukubali kumuuza feisal kwenda Azam kinyonge bali walipiga hesabu ndefu na zenye faida,
Yanga atanufaika na mauzo ya feisal akiuzwa sehemu yeyote nje ya nchi kwa kupata asilimia 25 ya mauzo yake, na akiuzwa, kutolewa kwa mkopo ama kuvunja mkataba na kusajiliwa na timu yeyote ndani ya nchi Yanga itahitaji bilioni 1 kutoka Azam!
Kipengele hicho kimewekwa makhususi kuzuia hujuma yeyote ile ama mipango yeyote ile endapo ilikuwepo ya Feisal kwenda timu yeyote nje ya Azam! Ikitokea ivyo atakayehumia ni Azam na Yanga atakunja noti zake kiroho safi!