cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanachekesha hawauliona wapi club ikanufaika na mchezaji walievunja nae mkataba? au kwenye mpira umekuja kwasababu ya kubet
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanachekesha hawauliona wapi club ikanufaika na mchezaji walievunja nae mkataba? au kwenye mpira umekuja kwasababu ya kubet
Tangu utudanganye kuwa Feisal kanunuliwa kwa 350M huwa nasoma comments zako kwa tahadhari sana.Btw kubali kushauliwa una uandishi mbovu sana,jaribu kutulia na uandike kwa mtiririko wa kueleweka na utumie herufi sehemu husika ili usomeke kwa usahihi zaidi.Ni wazi yanga hawakukubali kumuuza feisal kwenda Azam kinyonge bali walipiga hesabu ndefu na zenye faida,
Yanga atanufaika na mauzo ya feisal akiuzwa sehemu yeyote nje ya nchi kwa kupata asilimia 25 ya mauzo yake, na akiuzwa, kutolewa kwa mkopo ama kuvunja mkataba na kusajiliwa na timu yeyote ndani ya nchi Yanga itahitaji bilioni 1 kutoka Azam!
Kipengele hicho kimewekwa makhususi kuzuia hujuma yeyote ile ama mipango yeyote ile endapo ilikuwepo ya Feisal kwenda timu yeyote nje ya Azam! Ikitokea ivyo atakayehumia ni Azam na Yanga atakunja noti zake kiroho safi!
Huyu mleta mada wakati wa sakata la Feisal kuondoka alikuwa anatokwa povu la hatari mpaka akawa anaweka na bei itakayowalazimu watakaomnunua Feisal kuwa ni 350M.Tulimbishia sana na hakukubali,matokeo yake kina Hersi wakaficha aibu ya uhalisia wa transfer ya Feisal,tulipomuuliza akawa mkali kama pilipili kichaa.Huwa nasoma comments zake huku nacheka kila nikikumbuka alivyokuwa mbishi wakati wa kuondoka kwa FeisalUONGO
Unajiuliza swali na kujijibu mwenyewe, unasema mlibisha kuwa thamani ya feisal sio 350mil, wakati huo huo unasema transfer imefichwa kwa maana iyo akuna unachokijua zaidi ya ubishi wa umbumbuni! Inawezekana feisal aliondoka bure kwa mujibu wa akili yako na wenzako pia sio lazima wewe uamini au usiamini kwa kuwa auna mchango wowote utaongeza au kupunguza!Huyu mleta mada wakati wa sakata la Feisal kuondoka alikuwa anatokwa povu la hatari mpaka akawa anaweka na bei itakayowalazimu watakaomnunua Feisal kuwa ni 350M.Tulimbishia sana na hakukubali,matokeo yake kina Hersi wakaficha aibu ya uhalisia wa transfer ya Feisal,tulipomuuliza akawa mkali kama pilipili kichaa.Huwa nasoma comments zake huku nacheka kila nikikumbuka alivyokuwa mbishi wakati wa kuondoka kwa Feisal
Nilivyoona tu hii sentensi ya mwishoivyo atakayehumia ni Azam na Yanga atakunja noti zake kiroho safi!
Mod huyu mdau ana hoja msikilizeni muifikishe kwa boss afanyie hii kitu kaziKigezo cha elimu ili ujiunge hicho hakikubalik kwa sabab sis tusiosoma mtatubagua
Km vp kigezo hicho kitumike kwa atakayetaka kuweka thred
Ni ombi nimetoa kwa kuwa tunavunjiana heshima hapa ndani, pia itaturahisishia kujua unayejibizana nae capacity yake ya ubongo ikoje kupitia cv yake!Mod huyu mdau ana hoja msikilizeni muifikishe kwa boss afanyie hii kitu kazi