Yanga itaendelea kufaidika na Feisal Salum kwa mujibu wa vipengele vya mkataba

Yanga itaendelea kufaidika na Feisal Salum kwa mujibu wa vipengele vya mkataba

uliona wapi club ikanufaika na mchezaji walievunja nae mkataba? au kwenye mpira umekuja kwasababu ya kubet
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanachekesha hawa
 
Sidhani km kuna mkataba wa aina hiyo hapa Duniani. Khaaah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni wazi yanga hawakukubali kumuuza feisal kwenda Azam kinyonge bali walipiga hesabu ndefu na zenye faida,

Yanga atanufaika na mauzo ya feisal akiuzwa sehemu yeyote nje ya nchi kwa kupata asilimia 25 ya mauzo yake, na akiuzwa, kutolewa kwa mkopo ama kuvunja mkataba na kusajiliwa na timu yeyote ndani ya nchi Yanga itahitaji bilioni 1 kutoka Azam!

Kipengele hicho kimewekwa makhususi kuzuia hujuma yeyote ile ama mipango yeyote ile endapo ilikuwepo ya Feisal kwenda timu yeyote nje ya Azam! Ikitokea ivyo atakayehumia ni Azam na Yanga atakunja noti zake kiroho safi!
Tangu utudanganye kuwa Feisal kanunuliwa kwa 350M huwa nasoma comments zako kwa tahadhari sana.Btw kubali kushauliwa una uandishi mbovu sana,jaribu kutulia na uandike kwa mtiririko wa kueleweka na utumie herufi sehemu husika ili usomeke kwa usahihi zaidi.
 
Huyu mleta mada wakati wa sakata la Feisal kuondoka alikuwa anatokwa povu la hatari mpaka akawa anaweka na bei itakayowalazimu watakaomnunua Feisal kuwa ni 350M.Tulimbishia sana na hakukubali,matokeo yake kina Hersi wakaficha aibu ya uhalisia wa transfer ya Feisal,tulipomuuliza akawa mkali kama pilipili kichaa.Huwa nasoma comments zake huku nacheka kila nikikumbuka alivyokuwa mbishi wakati wa kuondoka kwa Feisal
 
Unajiuliza swali na kujijibu mwenyewe, unasema mlibisha kuwa thamani ya feisal sio 350mil, wakati huo huo unasema transfer imefichwa kwa maana iyo akuna unachokijua zaidi ya ubishi wa umbumbuni! Inawezekana feisal aliondoka bure kwa mujibu wa akili yako na wenzako pia sio lazima wewe uamini au usiamini kwa kuwa auna mchango wowote utaongeza au kupunguza!
 
Back
Top Bottom