Mtanzanias
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 1,747
- 3,725
Unaonaje ukirudi shule ili ujifunze matumizi ya h mfano hawakukubali au atakayeumiaNi wazi yanga awakukubali kumuuza feisal kwenda Azam kinyonge bali walipiga hesabu ndefu na zenye faida,
Yanga atanufaika na mauzo ya feisal akiuzwa sehemu yeyote nje ya nchi kwa kupata asilimia 25 ya mauzo yake, na akiuzwa, kutolewa kwa mkopo ama kuvunja mkataba na kusajiliwa na timu yeyote ndani ya nchi yanga itahitaji bilioni 1 kutoka Azam!
Kipengele hicho kimewekwa makhususi kuzuia hujuma yeyote ile ama mipango yeyote ile endapo ilikuwepo ya feisal kwenda timu yeyote nje ya Azam! Ikitokea ivyo atakayehumia ni Azam na yanga atakunja noti zake kiroho safi!
Wewe uliyesoma mbona bado uko kwa shemeji yako unasubilia ugali wa masimango?Unaonaje ukirudi shule ili ujifunze matumizi ya h mfano hawakukubali au atakayeumia
inatakiwa urudi shule kiongoziWewe uliyesoma mbona bado uko kwa shemeji yako unasubilia ugali wa masimango?
Achana na ugali rudi darasaniWewe uliyesoma mbona bado uko kwa shemeji yako unasubilia ugali wa masimango?
Maskinii! JF ifike mahali tuwe tunaweka cv ya kila mmoja hapa juu ya elimu yake kabla ya kujiunga nafikiri heshima itakuwepo!inatakiwa urudi shule kiongozi
Kigezo cha elimu ili ujiunge hicho hakikubalik kwa sabab sis tusiosoma mtatubaguaMaskinii! JF ifike mahali tuwe tunaweka cv ya kila mmoja hapa juu ya elimu yake kabla ya kujiunga nafikiri heshima itakuwepo!
Yupo kwa shemeji anagombea remote na watoto wa dada yakeWewe uliyesoma mbona bado uko kwa shemeji yako unasubilia ugali wa masimango?
hahahahaha mambo yasiwe mengi, arudi la tatu BAchana na ugali rudi darasani
Yanga wana hazina kubwa sana ya wapumbavuUnaonaje ukirudi shule ili ujifunze matumizi ya h mfano hawakukubali au atakayeumia
Sahani ya ubwabwa iliwaponzaYes inabidi wapate faida baada ya kufanyainvestment ya kutosha ,yanga wamemtoa Fei ili kutimiza matakwa ya mkuu wa nchi.
Aliuzwa sio kuvunja mkataba, kasome press release za timu zoteuliona wapi club ikanufaika na mchezaji walievunja nae mkataba? au kwenye mpira umekuja kwasababu ya kubet
Kichwani umebeba ubongo au makamasi? Mkataba uliuvunja wewe?uliona wapi club ikanufaika na mchezaji walievunja nae mkataba? au kwenye mpira umekuja kwasababu ya kubet
yanga hawatafaidika kwa lolote kwasababu fei mpira wake ndio umeishia hapo. mark my words.Ni wazi yanga awakukubali kumuuza feisal kwenda Azam kinyonge bali walipiga hesabu ndefu na zenye faida,
Yanga atanufaika na mauzo ya feisal akiuzwa sehemu yeyote nje ya nchi kwa kupata asilimia 25 ya mauzo yake, na akiuzwa, kutolewa kwa mkopo ama kuvunja mkataba na kusajiliwa na timu yeyote ndani ya nchi yanga itahitaji bilioni 1 kutoka Azam!
Kipengele hicho kimewekwa makhususi kuzuia hujuma yeyote ile ama mipango yeyote ile endapo ilikuwepo ya feisal kwenda timu yeyote nje ya Azam! Ikitokea ivyo atakayehumia ni Azam na yanga atakunja noti zake kiroho safi!
Source? Weka huo mkataba hapa.Ni wazi yanga awakukubali kumuuza feisal kwenda Azam kinyonge bali walipiga hesabu ndefu na zenye faida,