Yanga itafute mwanasheria mwingine, iachane na Patrick Simon, ana kasoro

Hivi kuna matahira wangapi kila baada ya mechi wanakimbilia kwenye kamera na kuitukana timu,maana kama ikiwa hivyo huyo mwanasheria atakuwa anashinda kwa pilato kila siku? Haya tokea aonge kuna impact gani iliyo ipata Yanga labda kiuchumi au uwanjani na nje ya uwanja?
Kwani kazi ya Simon kwenye timu nini? mbona Ally Kamwe anaongea kila siku, mbona kocha anafundisha kila siku, wapishi, walinzi, wapiga picha, wafyaka majani, wapika supu, nk wote wako bize na kazi, kwanini Simon asiwe bize na wanachafua image ya brand na maslahi ya timu? Japo hata kwa kuwaandika barua za maonyo!!!!
 
Nimemsikia GB64 akitangaza mitandaoni kuwa wachezaji Yanga wanatumia dawa za kuongeza nguvu, ina maana Patrick Simon hazioni clips hizi?

Kama sio kweli anachosema GB64 kuhusu Yanga kwanini hafunguliwi mashtaka mahakamani kwa kuharibu brand ya Yanga?
Ajifungulie tu kesi bila ya kuagizwa na mabosi wake?
 
Nimekuulizwa Yanga unatukanwa mara ngapi na watu wangapi? Sasa GB 64 ana profile gani kwenye mpira wa bongo? ni shabiki maandazi kama walivyo mashabiki wengine. Ndio maana hana impact yoyote hata akiongea kipi, ila walio mkamata ndio wamempa kichwa.
Hiyo sio kweli, ana akili zake, na akikosea anahukumiwa vilevile. Utani usivuke mipaka ya kisheria na kibiashara.

Mfano, Ally Kamwe kudanganya umma kwamba Yanga wamepokea taarifa rasmi kutoka CAF kuwa mechi yao dhidi ya Vital'O ndio iwe mechi ya ufunguzi rasmi wa mashindano ya CAF ni makosa kama atakuwa aliudanganya umma kwenye jambo hilo. Anatakiwa atoe ushahidi kama kweli CAF wameleta taarifa Yanga, vinginevyo atakuwa amesema uongo na mkutumia taasisi na madaraka kuudanga umma akiwemo Rais wa Jamhuri na wadui mbalimbali' amesababisha usumbufu kwa watu mbalimbali. Adhabu yake ndogo kuliko zote ni kupewa onyo kali na mamlaka zinazolinda afya na ustawi wa umma. Ni kauli ambayo imesababisha tahaluki.

Taasisi hizi za Simba na Yanga zisipewe watoto wadogo kuziongoza, zina wadau wengi sana wa levels tofauti, ukiwa kiongozi huwezi kujisemea chochote na lolote; unawezakusababisha maafa makubwa sana ndani ya jamii.
 
Una malalamiko mengi kama mtoto wa kambo
 
Nimemsikia GB64 akitangaza mitandaoni kuwa wachezaji Yanga wanatumia dawa za kuongeza nguvu, ina maana Patrick Simon hazioni clips hizi?

Kama sio kweli anachosema GB64 kuhusu Yanga kwanini hafunguliwi mashtaka mahakamani kwa kuharibu brand ya Yanga?

Akina Magoma walifungua na kuendesha kesi inayohusiana na Yanga hadi wakapewa ushindi lakini Patrick Simon hakunusa kitu chochote kutoka Mahakamani wala kutoka kwa wanasheria wenzake kuwa kuna kesi inayoihusu Yanga.

Kesi ya Morrison kwenda Yanga, mkataba wa Fei Toto kwenda Azam, nk. Inaonekana Partick Simon hana uzoefu au hana weledi unaohitajika kwenye timu kubwa kama Yanga. Tatizo ni uongozi au ni Simon?

Ni heri aachwe akatafute changamoto nyinge kwingine na kutafuta mshauri mwingine wa kisheria wa timu.
Nadhani ulitaka kusema wachezaji wa Kolo wanatumia dawa za kupunguza nguvu (za kiume?) ndiyo maana wapo rojorojo kama urojo. Ndiyo hivyo?
 
Nakumbuka simba ilipokua peak, Yanga hata hatukua na muda wa kuishobikea shobokea walankuwaongelea kwa ubaya. Tulikua busy kutembeza bakuri kuipambania team ambayo leo hii waliokua kwenye peak wanakesha kuipopoa bila akili
 
Nimemsikia GB64 akitangaza mitandaoni kuwa wachezaji Yanga wanatumia dawa za kuongeza nguvu, ina maana Patrick Simon hazioni clips hizi?

Kama sio kweli anachosema GB64 kuhusu Yanga kwanini hafunguliwi mashtaka mahakamani kwa kuharibu brand ya Yanga?

Akina Magoma walifungua na kuendesha kesi inayohusiana na Yanga hadi wakapewa ushindi lakini Patrick Simon hakunusa kitu chochote kutoka Mahakamani wala kutoka kwa wanasheria wenzake kuwa kuna kesi inayoihusu Yanga.

Kesi ya Morrison kwenda Yanga, mkataba wa Fei Toto kwenda Azam, nk. Inaonekana Partick Simon hana uzoefu au hana weledi unaohitajika kwenye timu kubwa kama Yanga. Tatizo ni uongozi au ni Simon?

Ni heri aachwe akatafute changamoto nyinge kwingine na kutafuta mshauri mwingine wa kisheria wa timu.
Huyo Hana hata GB1 kichwani ukimshitaki ni kutesa familia yake tu.
 
Unataka mwanasheria wa taasisi kubwa kama yanga aanze kuwajibu hawo wehu wa Simba ambao hawajui hata msimu huu timu itamaliza nafasi ya ngapi?
Bwana mdogo beira umerudi jukwaani ulikuwa adimu sana.
Ulitusumbua sana kipindi kile na mbitiyaza
 
Nadhani ulitaka kusema wachezaji wa Kolo wanatumia dawa za kupunguza nguvu (za kiume) ndiyo wapo rojorojo kama urojo. Ndiyo hivyo?
Kama ukiona kazi ya mwanasheria wa timu inafanywa na mchome-mapovu ujue Kuna tatizo
 
Azam ni tawi la Simba na wachezaji wa Yanga wanatumia dawa zisizoruhusiwa ni vitu 2 tofauti vyenye hukumu tofauti kama vikithibitika ni kweli
Vp kwa hiyo na wewe Azam wakuchukulie hatua kisa umesema ni tawi la 5imba? Au hapo ww huja haribu brand ya Azam.

Ila kama umeamua mwenye kusikiliza upuuzi sawa sababu unaonekana una mda wa kusikiliza upuuzi. Na ww kabisa huo upuuzi wa GB64 unaukubali,kweli akili ni nywele..... ila hawaja taja za eneo gani...... kwani kuna wengine sio hizi za kichwani.......
 
Sisi tawi la huku kwetu tumeamua kumfungulia kesi gb 64 ili atoe uthibitisho wa maneno yake kwenye vyombo vya habari.
 
"......tawi la huku kwetu........" ndio lipo wapi au halina jina.
 
Tunawasiliana na mwanasheria wetu, ametuagiza tutafute ukweli kutoka uongozi na wachezaji kama ni kweli wanatumia dawa au la
 
dhidi ya kagoma kuja kucheza yanga.
Hawezi kucheza Yanga sababu ameshasajiriwa na Simba, ila Yanga watamshinda kea kuwa amewatapeli tabia ambayo inapigwa vita michezoni, hivyo anaweza akaishia kufungiwa kama Yanga watamkomalia
 
Back
Top Bottom