Little brain
JF-Expert Member
- Oct 31, 2020
- 4,282
- 6,303
ila waliwafunga!Hata al hilal hawaamini kama walitufunga kwa moto tuliowapelekea..!
Kama dhaifu kwa nn sasa huifungi?Hakuna team dhaifu Tanzania kuliko yanga ni basi tu soka la bongo linaendeshwa kienyeji kama unabisha subiri Caf confederation cup halafu urudi hapa maana aibu inakuja.
Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Timu dhaifu inacheza mechi 8 mfululizo sasa bila kupoteza huku timu ambayo sio dhaifu haiwezi fikisha mechi hata 5 kushinda mfululizo bila kutoa sare.Hakuna team dhaifu Tanzania kuliko yanga ni basi tu soka la bongo linaendeshwa kienyeji kama unabisha subiri Caf confederation cup halafu urudi hapa maana aibu inakuja.
Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Ajabu tuna ongoza ligi, serikali iingilie katiKwenye makaratasi mnashinda 5-0, ila kama game inapigwa uwanjani kaa kwa kutulia...
Game za ligi kuu tu ushindi wenu kila siku ni 1-0, mpaka mpangiwe timu ya daraja la nne ASFC ndio muifunge 7-0[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Wivu wa mke mkubwa tusha uzoeaHakuna team dhaifu Tanzania kuliko yanga ni basi tu soka la bongo linaendeshwa kienyeji kama unabisha subiri Caf confederation cup halafu urudi hapa maana aibu inakuja.
Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Duniani kote team inapimwa kwa mashindano ya nje ya league ambayo kwa bara letu ni Caf champions league sasa kumfunga mtibwa na team nyingine zinajifunga zenyewe ndio unasema una team team nzuri ipo Caf confederation cup wakati team mbovu ipo Caf champions league umeona tofauti hapo nyie endeleeni kupitisha bahasha kiama chenu kinakujaTimu dhaifu inacheza mechi 8 mfululizo sasa bila kupoteza huku timu ambayo sio dhaifu haiwezi fikisha mechi hata 5 kushinda mfululizo bila kutoa sare.
Derby zinachezwa nje ya uwanja kwani yanga mbovu ya mwinyi zahera ilifungwa lini na simba yanga kwa uchawi ni vile tu ilitokea bahati mbaya kwa simba kule sauz imekuwa nongwa ila yanga wachawi senzo anawajua na aliwaambia kama wanataka kufika mbali waache uloziKama dhaifu kwa nn sasa huifungi?
Hiyo Sheria ya kusema duniani kote timu hupimwa kwa mashindano ya nje imewekwa na nani? Au ni mawazo yako tu?Duniani kote team inapimwa kwa mashindano ya nje ya league ambayo kwa bara letu ni Caf champions league sasa kumfunga mtibwa na team nyingine zinajifunga zenyewe ndio unasema una team team nzuri ipo Caf confederation cup wakati team mbovu ipo Caf champions league umeona tofauti hapo nyie endeleeni kupitisha bahasha kiama chenu kinakuja
Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app