Yanga itaifunga TP Mazembe

Yanga itaifunga TP Mazembe

Hiyo Sheria ya kusema duniani kote timu hupimwa kwa mashindano ya nje imewekwa na nani? Au ni mawazo yako tu?

Kwahiyo kaiser chiefs kipindi anashika nafasi ya 8 kwenye ligi huku akifika fainali ya CAF alikua bora sana kuliko mamelods aliyekua bingwa wa south?

Toka muanze kuongea ishu ya bahasha mpaka Leo hakuna aliyejitokezq kupeleka ushahidi TFF au FIFA Ili tushushwe kabisa daraja?

Unamuelezea Nn Huyo Mtu Mwenyewe Hata Mpira Haujui..
 
Derby zinachezwa nje ya uwanja kwani yanga mbovu ya mwinyi zahera ilifungwa lini na simba yanga kwa uchawi ni vile tu ilitokea bahati mbaya kwa simba kule sauz imekuwa nongwa ila yanga wachawi senzo anawajua na aliwaambia kama wanataka kufika mbali waache ulozi

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Yanga mbovu ya Mwinyi Zahera, vipi hii ya Nabi yenyewe sio mbovu?
 
Hakuna team dhaifu Tanzania kuliko yanga ni basi tu soka la bongo linaendeshwa kienyeji kama unabisha subiri Caf confederation cup halafu urudi hapa maana aibu inakuja.

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app

Nyie Bado Mtaendelea Kuwa Underdog Kwa Yanga, Mtaambulia Sare Na Vipigo Tu…Na Ubingwa Mtausikia Kwenye Bomba Kwa Miaka Mingi Ijayo…NA HAKUNA KITU MTAFANYA [emoji23][emoji23]
 
Duniani kote team inapimwa kwa mashindano ya nje ya league ambayo kwa bara letu ni Caf champions league sasa kumfunga mtibwa na team nyingine zinajifunga zenyewe ndio unasema una team team nzuri ipo Caf confederation cup wakati team mbovu ipo Caf champions league umeona tofauti hapo nyie endeleeni kupitisha bahasha kiama chenu kinakuja

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app

Wewe Hakuna Kitu Unajua Kuhusu Mpira, Wee Jamaa Ni MBUMBUMBU Pro Max [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Timu dhaifu inacheza mechi 8 mfululizo sasa bila kupoteza huku timu ambayo sio dhaifu haiwezi fikisha mechi hata 5 kushinda mfululizo bila kutoa sare.
Mechi nane na timu zenye ushindani gani????????Timu pekee yenye ushindani na yanga ni simba!!!!
 
Back
Top Bottom