Yanga itaifunga TP Mazembe

Haya ngoja tuendelee kutunza hii risiti
 
Sawa mkuu Leo mazembe kapewa bahasha as well
 
Hakuna team dhaifu Tanzania kuliko yanga ni basi tu soka la bongo linaendeshwa kienyeji kama unabisha subiri Caf confederation cup halafu urudi hapa maana aibu inakuja.

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Uwe unanyamaza kujiepushia aibu za kijinga kama hizi.


Hiyo timu dhaifu mbona huifungi mpaka waomba kura wenu wanaahidi wataifunga ili muwape muda mwingine wa kuongoza?

Haya hiyo aibu ameishia kuipata nani kama si wewe kukung'utwa goli tatu kwenye kibaraza chako.

Punguza ujuaji na kuishi kwa kukariri. Unadhani siku zote maisha ni 'A'. Unajihesabia haki na ushindi, umeishia kuloa. Sura ziko chini kwa fedheha.
 
Kwenye makaratasi mnashinda 5-0, ila kama game inapigwa uwanjani kaa kwa kutulia...

Game za ligi kuu tu ushindi wenu kila siku ni 1-0, mpaka mpangiwe timu ya daraja la nne ASFC ndio muifunge 7-0[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Muulize Mazembe kala ngapi?

Kisha ujiulize na wewe kwenye FA ulikula ngapi? Alafu na Raja kakutawaza ngapi hapo kwa Mkapa unapojitamba hatoki mtu.
 
Tulie vipers aje kuwakata ngebe sijui mtakimbilia wapi
Hahahaaaaa.

Hasira zetu zote tunamalizia kwao mkuu,halafu jua tu tukiwafunga vipers ujue tumewafunga nyie na mazembe,kwani wote mlipata shida kwake.

Ila mtani jana mliupiga mwingi mnoo,hongereni sana
 
Kwa hyo mmechukua ubingwa tayari wa Caf

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…