Same same kwa Simba, kuna makosa ya kiteknik waliyafanya kumpa 49% ya hisa kwa Mo.
Pale ingetakiwa kuwe na ipo halafu waweke mipango kabisa kwamba wanakusanya like 50 billion ambayo inaenda kutengeneza uwanja.
Sasa wababe mangumbaru wakampa hisa 49% yule kabachori halafu sioni hata kitu kipya zaidi ya hizi danganya toto za ubingwa.
Yaani hii nchi kila mahali inanuka