Yanga iwe timu ya Wananchi katika misingi ya umiliki na uwekezaji

Yanga iwe timu ya Wananchi katika misingi ya umiliki na uwekezaji

Mlenge

R I P
Joined
Oct 31, 2006
Posts
2,125
Reaction score
2,306
Kichwa cha habari hiki sicho nilichokiposti. Pana mtu amefanya stealth edit. Whoever did that: It is unethical. Umenilisha maneno nisiyoyaandika. Ukiedit, jipe credit. Au ukiona unayo mawazo ya kwako mwenyewe ya kuyatoa andika uzi wako. Ukiona huu haufai, ufute, au wasiliana na mwandishi. Jamiiforums ikiwa imeanza kuwa mchapishaji, ituambie, vinginevyo iache maandishi kama yalivyo au ikiyahariri ijitokeze hadharani. How hard is that?

CC:
Maxence Melo
 
Hayao mawazo ni kama upo kwenye kichwa changu kabisa. Hii ilitakiwa ifanyike hata miaka kumi iliyopita.

Ni wazo zuri ila hakuna wa kusimamia maaana walioshika mpini kwenye hivo vilabu sio watu sahihi
 
Same same kwa Simba, kuna makosa ya kiteknik waliyafanya kumpa 49% ya hisa kwa Mo.

Pale ingetakiwa kuwe na ipo halafu waweke mipango kabisa kwamba wanakusanya like 50 billion ambayo inaenda kutengeneza uwanja.

Sasa wababe mangumbaru wakampa hisa 49% yule kabachori halafu sioni hata kitu kipya zaidi ya hizi danganya toto za ubingwa.

Yaani hii nchi kila mahali inanuka
 
Sio kwa timu hizi hovyo.

Siwezi poteza hela yangu.
 
Kama mwana Yanga nashindwa kuelewa viongozi wetu wana shida gani, hili wazo lipo miaka nenda rudi lakini viongozi hawataki kulifanyia kazi
 
Kama mwana Yanga nashindwa kuelewa viongozi wetu wana shida gani, hili wazo lipo miaka nenda rudi lakini viongozi hawataki kulifanyia kazi
Unataka walifanyie kazi halafu wakale wapi?
 
Si mmemchukua senzo? Haya tunawapa miaka mitatu mfikie levo ya Simba.
 
Back
Top Bottom