Yanga jiandaeni kulalamikia TFF na Karia

Yanga jiandaeni kulalamikia TFF na Karia

Justine Marack

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2014
Posts
612
Reaction score
1,698
Kwa Usajili mnao ufanya ni wazi Sasa ile tabia yenu ya Kulalamika inaendelea. Mwakalebela na malalamiko yake ya kutaka kujitoa Ligi ya bongo ajiandae.

Misimu yote iliyopita hatujasikia malalamiko toka kwa Simba. Mambo ya kusema TFF inapendelea, mara ratiba inaibeba Yanga hayo hayakuwepo.

Sasa jiandaeni HATUTAKI kelele
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
 
1689752331252.png
 
UTO FC hawategemei uwezo wa wachezaji wao kwenye kupata ushindi.

Wanategemea MIAMALA YA SIMU na marefa.
Haya ndio yalikua malalamiko ya makolo msimu uliopita. Lakini sasa hivi anaonywa Yanga kama sio uoga kuwajaa ni nini?
 
Tulivomsajili mayele mkabeza hivi hivi
Lomalisa mlibeza
Azizi ki mlibeza
Yanga team kubwa wanatoka wanaingia
Yanga bingwa tena
Mmoja walingángána kumuita JOISI, mwingine wakakaza kumuita AZIZA, na wakasema tumesajili bendi ya masebene..!! WAKASEBENESHWA KIASI CHA KUKOSA KOMBE LOLOTE, HADI LA NDONDO
 
Zile video za baadhi ya mechi zao zenye kuonyesha magoli yao yenye utata.

Ni kithibitisho tosha..
Ahahahahahahaaa hatari..!! Nilijua umeona muamala wa simu, muamala wa benki, bahasha au mtu akipewa cash..!!
 
Back
Top Bottom