Yanga jiandaeni kulalamikia TFF na Karia

Yanga jiandaeni kulalamikia TFF na Karia

Means dalili .au kiashiria cha BAHASHA
Kiashiria siyo lazima kiwe uhalisia. Hapo ndipo panapotahitajika uchunguzi. Wewe ulichofanya ni kukoncludi kuwa kuna bahasha bila uchunguzi. Ni hisia zako zaidi na upenzi wa timu na si michezo
 
Kiashiria siyo lazima kiwe uhalisia. Hapo ndipo panapotahitajika uchunguzi. Wewe ulichofanya ni kukoncludi kuwa kuna bahasha bila uchunguzi. Ni hisia zako zaidi na upenzi wa timu na si michezo
Hivi mkuu mfano kuku wako amepotea,,halafu unakuta manyoya kwenye nyumba jirani huoni kama Ni kiashiria kwamba yeye ndy mwizi?

UTO FC wanashinda lakini kunakuwa na sitomfahamu nyingi Sana kuhusu ushindi wao.

Sasa kunahitaji degree kugunduwa kwamba wanatumia pesa?.
 
Kwa Usajili mnao ufanya ni wazi Sasa ile tabia yenu ya Kulalamika inaendelea. Mwakalebela na malalamiko yake ya kutaka kujitoa Ligi ya bongo ajiandae.

Misimu yote iliyopita hatujasikia malalamiko toka kwa Simba. Mambo ya kusema TFF inapendelea, mara ratiba inaibeba Yanga hayo hayakuwepo.

Sasa jiandaeni HATUTAKI kelele
Huku Uturuki mambo ni bam bam.
IMG-20230720-WA0004.jpg

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom