Yanga jiandaeni kuzinunua jezi mlizouza kwa mashabiki wenu

Yanga wamefanya kosa kubwa kwenye mkataba wao na SportPesa kuliko wengi tunavyodhani na madhara yake ni makubwa sana kwa mdhamini wao yaani SportPesa. Yaani mimi ningekuwa mshabiki wa Yanga ningemtafuta huyu aliyetoa wazo hili maana ni msaliti mkubwa sana atakayeenda kuiharibia timu si tu kibiashara na kifedha lakini pia focus kwenye mechi zinazofuata.

Athari ya walichofanya Yanga ni kubwa kwa sababu hata ikitokea leo Yanga wakaghairi kutovaa jezi hizi mpya katika mechi zao za CAF Shirikisho, jezi hizi tayari zipo mtaani na watu wanazivaa zaidi ya zile za zamani kwa wale waliokuwa na uwezo wa kuzinunua.

Hawa SportPesa wakikomaa wakasema wamesamehe hawataidai fidia au kuvunja mkataba, watakachotaka kufanya the least ni kuitaka Yanga kuzinunua jezi zote walizouza ili kuziondoa mitaani. Na tunajua wakisema wazinunue kwa bei ile ile waliyouzia mwanzo, wachache sana watarudisha.

Hivyo Yanga itabidi waweke bei kuanzia 80,000/= kwa kila jezi ndiyo labla itawashawishi watu kuzirudisha.

Mgogoro mkubwa unanukia Yanga.
Poor mind 😉😉 unafikiria kwa kutumia kiungo gani wewe Dunduka?
 
Mnahangaika bure,bosi wa sportpesa yuko na utopolo na hata uto wakipelekwa mahakamani,atakuja kuharibu kesi kwa kukiri yanga walipewa go ahead.

Wapumbavu hapa ni sportpesa kuajiri mtu mhuni shabiki wa uto.

Kifupi sport pesa hawana ujanja ndio maana uto wanakiburi.Sportpesa ndio imekula kwao

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Ndio mindset zenu zilivyo kwani huyo Abbas Tarimba hiyo Sportpesa ni yake ? Mnamhukumu Tarimba kwa Uyanga wake lakini Sportpesa wanajua umuhimu wake
 
Yanga wamefanya kosa kubwa kwenye mkataba wao na SportPesa kuliko wengi tunavyodhani na madhara yake ni makubwa sana kwa mdhamini wao yaani SportPesa. Yaani mimi ningekuwa mshabiki wa Yanga ningemtafuta huyu aliyetoa wazo hili maana ni msaliti mkubwa sana atakayeenda kuiharibia timu si tu kibiashara na kifedha lakini pia focus kwenye mechi zinazofuata.

Athari ya walichofanya Yanga ni kubwa kwa sababu hata ikitokea leo Yanga wakaghairi kutovaa jezi hizi mpya katika mechi zao za CAF Shirikisho, jezi hizi tayari zipo mtaani na watu wanazivaa zaidi ya zile za zamani kwa wale waliokuwa na uwezo wa kuzinunua.

Hawa SportPesa wakikomaa wakasema wamesamehe hawataidai fidia au kuvunja mkataba, watakachotaka kufanya the least ni kuitaka Yanga kuzinunua jezi zote walizouza ili kuziondoa mitaani. Na tunajua wakisema wazinunue kwa bei ile ile waliyouzia mwanzo, wachache sana watarudisha.

Hivyo Yanga itabidi waweke bei kuanzia 80,000/= kwa kila jezi ndiyo labla itawashawishi watu kuzirudisha.

Mgogoro mkubwa unanukia Yanga.
Mtu kama wewe kwenye mikusanyiko kazi zenu hua ni kinawisha watu na kumenya viazi huna Matumizi mengine
 
Back
Top Bottom