Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Wakati meli ya Titanic inazinduliwa, walioijenga walisema kuwa ile meli haitazama Kamwe (unsinkable)
Historia inaonesha kila aliyepanda ile meli alikuwa na Imani nayo kubwa Sana kuwa haitazama. Lakini mwisho wa siku ilizama na kuua watu kadhaa.
Yanga nao mpaka wakatuga na wimbo kabisa kuwa haiwezekani kufungwa. Mungu ndiye mgawa riziki huchukia Sana wanaojiapiza.