Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Sindano fc [emoji23][emoji23][emoji23]Makolo mna shida sana.
Yanga bingwa
Mbona Kuna sehem ingine unasema mtu ajionavyo nafsin ndivyo alivyo?Wakati meli ya Titanic inazinduliwa, walioijenga walisema kuwa ile meli haitazama Kamwe (unsinkable)
Historia inaonesha kila aliyepanda ile meli alikuwa na Imani nayo kubwa Sana kuwa haitazama. Lakini mwisho wa siku ilizama na kuua watu kadhaa.
Yanga nao mpaka wakatuga na wimbo kabisa kuwa haiwezekani kufungwa. Mungu ndiye mgawa riziki huchukia Sana wanaojiapiza.
Wakati meli ya Titanic inazinduliwa, walioijenga walisema kuwa ile meli haitazama Kamwe (unsinkable)
Historia inaonesha kila aliyepanda ile meli alikuwa na Imani nayo kubwa Sana kuwa haitazama. Lakini mwisho wa siku ilizama na kuua watu kadhaa.
Yanga nao mpaka wakatuga na wimbo kabisa kuwa haiwezekani kufungwa. Mungu ndiye mgawa riziki huchukia Sana wanaojiapiza.
Wenye mambo Yao wanawaza wamjengee wapi mnara๐๐๐๐Sahivi baltazar atapumua sasa.....tumehamia huku
Tumeipenda wenyewe, tunaanzaje kunywa sumu sasa we Makolokolo Mwandamizi ๐ค๐คฃ
Sisi ndiyo Simba SC AKA;Yanga kaliwa
Yanga kapakatwa
Yanga kapakwa mafuta
Yanga kakaangwa
Yanga kakanyagwa
Chikooooooooooooooooolaaaaaa..!!
Kaka hydroxo: tulia dawa iwaingie !Makolo mna shida sana.
Sisi ndiyo Simba SC AKA;
1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio SC (Visababu)
25. Manguruwe SC. View attachment 3146575