Yanga kabla hawajacheza Usm Alger waitwe ikulu wakapate baraka za Mama ili wakaliwakilishe Taifa kwa uzalendo mkubwa

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Waziri wa michezo na naibu waziri tunatambua na tunaona kazi zenu katika tasnia ya utamaduni Sanaa na michezo hakika mashabiki hatuna Cha kuwadai kwani mh. Raisi Dr Samia suluhu hassan hakukosea kuwateua/kuwapa nyadhifa hizo hakika mnastahili pongezi.

NALIA NGWENA kupitia mtandao pendwa JF nikuombe waziri wa michezo ratibu muda Timu ya Yanga ikutane na Mama ikulu walau washikwe hata mkono na mama, maana mkono /maneno ya mama ni baraka kubwa sana kwa mtoto hakika itawapa Yanga molali kubwa katika kulipambania Taifa.

Ni matumaini yangu maoni yangu yatafanyiwa kazi.


Wako JF expert member NALIA NGWENA
 
Nonsense, acheni kuchanganya michezo na siasa huyo rais ushughulikie ilani yao ya uchaguzi, uchumi uko matopeni na zaidi ya asilimia 65 ya watanzania sasa wanaishi chini ya dola moja kwa siku.

Asikwepe majukumu yake kwa kujificha nyuma ya mpira.
 
Napinga ilo swala kwa nguvu zote. Kitu chochote ambacho Wanasiasa wanaweka mkono, lazima kiende ovyo hata kama kilikuwa vizuri.

Timu imefika hapo bila vikao au kuonana nao, na naamini haiwahitaji. Kama baraka, waendelee kuzitoa kwa mbali.
 
Nonsense, acheni kuchanganya michezo na siasa huyo rais ushughulikie ilani yao ya uchaguzi, uchumi uko matopeni na zaidi ya asilimia 65 ya watanzania sasa wanaishi chini ya dola moja kwa siku.

Asikwepe majukumu yake kwa kujificha nyuma ya mpira.
Mbona umeongea kwa hisia sana mkuu?
Umesoma vizuri bandiko

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ikulu yetu? Timu iliyojaza Wacongo tena yenye kocha wa Kirundi inayoshiriki 2nd tier competition!
 
NADHANI WANGEKUWA WANACHEZA KULE KWA WANAUME AKINA SIMBA MAMELODI WYDAD, RAJA NK


WANGEFIKA FAINALI HUKO KWA WANAUME NINGEKUWA WA KWANZA KUWAOMBA WAENDE IKULU.
 
NASHAURI.

Wangekuwa kule kwa WANAUME.

Mamelodi.
WHYDAD.
Raja.
Simba.

WANGEFIKA FAINALI huku Ningekuwa WA kwanza KUWAOMBA WAENDE bungeni na IKULU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…