NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Waziri wa michezo na naibu waziri tunatambua na tunaona kazi zenu katika tasnia ya utamaduni Sanaa na michezo hakika mashabiki hatuna Cha kuwadai kwani mh. Raisi Dr Samia suluhu hassan hakukosea kuwateua/kuwapa nyadhifa hizo hakika mnastahili pongezi.
NALIA NGWENA kupitia mtandao pendwa JF nikuombe waziri wa michezo ratibu muda Timu ya Yanga ikutane na Mama ikulu walau washikwe hata mkono na mama, maana mkono /maneno ya mama ni baraka kubwa sana kwa mtoto hakika itawapa Yanga molali kubwa katika kulipambania Taifa.
Ni matumaini yangu maoni yangu yatafanyiwa kazi.
Wako JF expert member NALIA NGWENA