Tetesi: Yanga kabla ya mechi ya leo juzi walichapana makonde Mwamnyeto na Aziz Ki wakati wa kikao cha kocha mpya!

kipara kipya

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2016
Posts
18,833
Reaction score
23,276
Ule utovu wa nidhamu umeendelea kutamalaki kupelekea wachezaji waaandamizi Aziz Ki na Mwamnyeto kuchapana makonde mbele ya kocha mpya, inasemekana Mwamnyeto anamtuhumu Aziz Ki kupeleka majungu kwa viongozi na kocha mpya kuhusu baadhi ya wachezaji kuwa hawafai kupata namba.

Hizo habari tulishindwa kuzitoa tangu asubuhi tulijua zinaweza kuwachangaya wana Yanga!
 
Ule utovu wa nidhamu umeendelea kutamalaq kupelekea wachezaji waaandamizi aziz ki na mwanyeto kuchapana makonde mbele ya kocha mpya,inasemekana mwanyeto anamtuhumu aziz ki kupeleka majungu kwa viongozi na kocha mpya kuhusu baadhi ya wachezaji kuwa hawafai kupata namba.
Hizo habari tulishindwa kuzitoa tangu asubuhi tulijua zinaweza kuwachangaya wana yanga!
Azizi ki apandishwe cheo tu awe benchi la ufundi pale mana uwanjani yeye mpira hachezagi anaelekeza wenzake tu
 
Ule utovu wa nidhamu umeendelea kutamalaq kupelekea wachezaji waaandamizi aziz ki na mwanyeto kuchapana makonde mbele ya kocha mpya,inasemekana mwanyeto anamtuhumu aziz ki kupeleka majungu kwa viongozi na kocha mpya kuhusu baadhi ya wachezaji kuwa hawafai kupata namba.
Hizo habari tulishindwa kuzitoa tangu asubuhi tulijua zinaweza kuwachangaya wana yanga!
UNamuonea mwamstabation hata kingereza hakijui
1000194643.jpg
 
Kwa hiyo boyfriend wa Hamisa baada ya kiwango ku drop ameamua aanze ku-snitch??

Au kafanya revenge??

Isije ikawa mashushu wamempenyezea taarifa kuwa Mwamnyeto ndiye aliyehusika ku-leak ile video yake akiwa viwanja anavuta shisha.

So jamaa kulipiza kisasi akaamua am-snitch kwa kocha iwe mbwai.
 
Unaambia domo kawasagia wenzie kunguni kinoma wakina baleke kuwa sio foward!
 
Back
Top Bottom