Tetesi: Yanga kabla ya mechi ya leo juzi walichapana makonde Mwamnyeto na Aziz Ki wakati wa kikao cha kocha mpya!

Tetesi: Yanga kabla ya mechi ya leo juzi walichapana makonde Mwamnyeto na Aziz Ki wakati wa kikao cha kocha mpya!

Ila aziz ni mseng*, mwishoni mwa msimu Jana alikuwa apige hela ndefu za usajili kwenye vilabu vilivyokuwa vinamhitaji.

Sasa kawa Kiazi Hadi kwenye jezi wanamuandika KIAZIZ
Sjui kilichombakisha kwenye hio timu ya hovyo ni kitu gani, ila wamemfanyia vibaya sana hadi kumtumia hamisa amrubuni ..dah ase..wanawake ni noma..yan mtu anaaacha MABILIONI anabaki kisa hamisa [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
BABA WA TAIFA MWALIMU NYERERE ALITUTAJIA MAADUI.

1. UMASIKINI
2.UJINGA.
3. MARADHI.

Akasema Hawa ni maadui wa kweli kweli katika hili Taifa.

LEO 2024 BAADA YA MIAKA 60 TUMEKUWA NA MAADUI WENGI ZAIDI.

2024 maadui wameongeseka Zaidi kuliko wale watatu wa 1961.

1.Umasikini na ufukara.
2.Ujinga na upumbavu.3.Magonwa na Maradhi
4.Mmomonyoko wa Maadili.
ushoga, usagaji Kamali, sugar mamy, sugar Dady mashangazi
5 AJIRA
5. Rushwa na Upendelo

6. USimba na u yanga.
7. Mitandao ya kijamii Tiktok, x, nk
8. Manabii wa uongo na Mashehe Uchwara.
9. Ajali nyingi mno.
10. Gharama kubwa za maisha, ujenzi holela nk

MAMBO NI MENGI SANA VIJANA WA KITANZANIA WANAWAZA MAMBO YA HOVYO SANA SIMBA NA YANGA ZINATAWALA MIKEKA NK.

OKOENI TAIFA LENU LEO.
MKIFIKA MBINGUNI MTAHOJIWA NA MUNGU MLILIFANYIA NINI TAIFA LENU NIMEMALIZA.
 
Ule utovu wa nidhamu umeendelea kutamalaq kupelekea wachezaji waaandamizi Aziz Ki na Mwamnyeto kuchapana makonde mbele ya kocha mpya, inasemekana Mwamnyeto anamtuhumu Aziz Ki kupeleka majungu kwa viongozi na kocha mpya kuhusu baadhi ya wachezaji kuwa hawafai kupata namba.

Hizo habari tulishindwa kuzitoa tangu asubuhi tulijua zinaweza kuwachangaya wana yanga!
Siku hizi si Anajiita KIAZIZ
 
Back
Top Bottom