kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Azizi ki apandishwe cheo tu awe benchi la ufundi pale mana uwanjani yeye mpira hachezagi anaelekeza wenzake tuUle utovu wa nidhamu umeendelea kutamalaq kupelekea wachezaji waaandamizi aziz ki na mwanyeto kuchapana makonde mbele ya kocha mpya,inasemekana mwanyeto anamtuhumu aziz ki kupeleka majungu kwa viongozi na kocha mpya kuhusu baadhi ya wachezaji kuwa hawafai kupata namba.
Hizo habari tulishindwa kuzitoa tangu asubuhi tulijua zinaweza kuwachangaya wana yanga!
UNamuonea mwamstabation hata kingereza hakijuiUle utovu wa nidhamu umeendelea kutamalaq kupelekea wachezaji waaandamizi aziz ki na mwanyeto kuchapana makonde mbele ya kocha mpya,inasemekana mwanyeto anamtuhumu aziz ki kupeleka majungu kwa viongozi na kocha mpya kuhusu baadhi ya wachezaji kuwa hawafai kupata namba.
Hizo habari tulishindwa kuzitoa tangu asubuhi tulijua zinaweza kuwachangaya wana yanga!
Unaambia domo kawasagia wenzie kunguni kinoma wakina baleke kuwa sio foward!Kwa hiyo boyfriend wa Hamisa baada ya kiwango ku drop ameamua aanze ku-snitch??
Au kafanya revenge??
Isije ikawa mashushu wamempenyezea taarifa kuwa Mwamnyeto ndiye aliyehusika ku-leak ile video yake akiwa viwanja anavuta shisha.
So jamaa kulipiza kisasi akaamua am-snitch kwa kocha iwe mbwai.
Kunywa maji mengi ulale mapema pole sana yanga ile inafungwaje!Ila timu yangu imejua kunitia aibu leo.
Ila yote kheri tu!!!
Siwezi kuilaumu.
Anataka uwaziri wa michezo huoni anavaa jersey iliyoandikwa SAMIA nasikia kaandaliwa Jimbo ZanzibarAzizi ki apandishwe cheo tu awe benchi la ufundi pale mana uwanjani yeye mpira hachezagi anaelekeza wenzake tu
Ndio nipo ndani hapa, sitaki hata kutoka nje maana niliweka ahadi nzito kuhusu timu yangu😔Kunywa maji mengi ulale mapema pole sana yanga ile inafungwaje!
Azizi ki apandishwe cheo tu awe benchi la ufundi pale mana uwanjani yeye mpira hachezagi anaelekeza wenzake tu
Usiogope sana ni leo tu yatapita!Ndio nipo ndani hapa, sitaki hata kutoka nje maana niliweka ahadi nzito kuhusu timu yangu😔
Naona hii ndo gusa achia...
Duuh!Ila aziz ni mseng*, mwishoni mwa msimu Jana alikuwa apige hela ndefu za usajili kwenye vilabu vilivyokuwa vinamhitaji.
Sasa kawa Kiazi Hadi kwenye jezi wanamuandika KIAZIZ