Tetesi: Yanga kabla ya mechi ya leo juzi walichapana makonde Mwamnyeto na Aziz Ki wakati wa kikao cha kocha mpya!

Majungu fc
 
Za Ulaya ndio sizielewagi kabisa.
Yaani huko naambulia patupuπŸ˜…πŸ˜…
Kama ulivyoanza kuwazimia wananchi na liverpool taratibu utazowea ni chama bora la watu waungwana hata tufungwe mia tunafarijiana slowgan yetu inaitwa you will never walk alone!
 
Waooooo!!!!!
"You will never walk alone".....safi sana hii.
Sema nikianza kupenda mechi za nje, nitaingia kwenye uraibu wa kubeti
 
Tutajuwa tu kwanini wanataka kuturudisha kulee tulipokuwa tumepasahau au wametumwa hawa we azizi una nini au ndiyo raha imenoga.
 
Hizo tuhuma zinaweza kuwa na ukweli maana Kwa siku za hivi karibuni Ki ameonekana kuwa kimbelembele zaidi ya kocha msaidizi Timu inapokuwa uwanjani na yeye akiwa benchi
 
Waooooo!!!!!
"You will never walk alone".....safi sana hii.
Sema nikianza kupenda mechi za nje, nitaingia kwenye uraibu wa kubeti
Mungu akujalie usitumbukie huko kwenye uraibu, anza kupitia thread ya liverpool ujifunze mengi kupitia hapo utawakuta wadada wastaarabu pia wapo huko!
 
Hizo tuhuma zinaweza kuwa na ukweli maana Kwa siku za hivi karibuni Ki ameonekana kuwa kimbelembele zaidi ya kocha msaidizi Timu inapokuwa uwanjani na yeye akiwa benchi
Kuna hatari kitambaa cha unahodha kwa mwamnyeto kikaota mbawa!
 
Mungu akujalie usitumbukie huko kwenye uraibu, anza kupitia thread ya liverpool ujifunze mengi kupitia hapo utawakuta wadada wastaarabu pia wapo huko!
Sawa mpwa.
Ngoja nijongee kwenye huo uzi.
πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
Bado hamjasema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…