kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Ali kamwe alisema wameaminishwa kuwa Dube alikuwa hafungi kwa kuwa alikuwa amefungwa kwa nguvu za giza na timu fulani ila mganga mpya waliyempata amewahakikishia leo(jana) rasmi ataanza kufunga na wanamkabidhi mechi na ukisikia kukabidhiwa mechi ni zile takataka zote za kichawi hukabidhiwa mchezaji husika ndio maana Dube alionekana kuzidiwa uzito na kuishia kuanguka peke yake uwanjani bila kuguswa.
Hivyo niwashauri yanga najua privaldinho,Hersi na ali kamwe wanapitia hapa hata mwigulu nchemba wa singida timu ndugu wa yanga waende wakadai pesa zao kwa mganga si kwa dube yule tuliyemuona!
Hivyo niwashauri yanga najua privaldinho,Hersi na ali kamwe wanapitia hapa hata mwigulu nchemba wa singida timu ndugu wa yanga waende wakadai pesa zao kwa mganga si kwa dube yule tuliyemuona!