kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Haya maneno yalitakiwa yachongewe frame!Wenye akili wawili tuu Yanga.
Mànara.
Dube hamna kitu pale mimi napendekeze kusiwe na siku ya mchechezaji ni upuzi na ubunifu wa kitoto kwakifupi yanga kwa sasa ni timu mbovu sanaAli kamwe alisema wameaminishwa kuwa Dube alikuwa hafungi kwa kuwa alikuwa amefungwa kwa nguvu za giza na timu fulani ila mganga mpya waliyempata amewahakikishia leo(jana)rasmi ataanza kufunga na wanamkabidhi mechi na ukisikia kukabidhiwa mechi ni zile takataka zote za kichawi hukabidhiwa mchezaji husika ndio maana dube alionekana kuzidiwa uzito na kuishia kuanguka peke yake uwanjani bila kuguswa.
Hivyo niwashauri yanga najua privaldinho,Hersi na ali kamwe wanapitia hapa hata mwigulu nchemba wa singida timu ndugu wa yanga waende wakadai pesa zao kwa mganga si kwa dube yule tuliyemuona!
Sijui wenyewe kama watakubaliana na hoja yako!Dube hamna kitu pale mimi napendekeze kusiwe na siku ya mchechezaji ni upuzi na ubunifu wa kitoto kwakifupi yanga kwa sasa ni timu mbovu sana
Wachezaji wamechoka tu hakuna wazee wala nini!Morali imeshuka mno, wakae na wazee wayajenge
Hata Gamondi hakuwa anapenda😄Dube hamna kitu pale mimi napendekeze kusiwe na siku ya mchechezaji ni upuzi na ubunifu wa kitoto kwakifupi yanga kwa sasa ni timu mbovu sana
AZAM ndio walio Unlock code. Hawatawasahau. Namungo wakiwa serious anachukua point 3 muhimu😂😂azam fc 'wanacheka kwa dharau'