Yanga kama wanataka kutengeneza Tanzania galacticals +?

Danielmwasi

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2021
Posts
2,134
Reaction score
3,834
yanga kwa tetesi tu za wachezaji. ni kama wanataka kualibu mpira wetu sasa.

mid field ( chama, aziz, Aucho, mudathir, pacome, max, ndemla, farid, sure boy, Mkude, )

defence ( bacca, job, yao yao, lomalisa, kibwana, gift, Nondo captain, + 2 new defenders )

forward ( mzize, guede, dube, mpole, musonda)

🤔 hii team ukilinga tu benchi, it has vast of talent.

kuna cdm na 2 wingers bado wanaongezeka .
what is Hersi plan?? too many top players in one team it's not health??
 
yanga kwa tetesi tu za wachezaji. ni kama wanataka kualibu mpira wetu sasa.

mid field ( chama, aziz, Aucho, mudathir, pacome, max, ndemla, farid, sure boy, Mkude, )

defence ( bacca, job, yao yao, lomalisa, kibwana, gift, 2 new defenders )

Yanga wanshitaji beki namba 5 wa kueleweka. Kati ya Musando, Guede na Mzize, wawili wanapaswa kuondoka ili nafasi yao ijazwe na washambuliaji wanaojua kufamania nyavu.
 
soma vizuri, 2 new defenders na cdm mmoja. forward ya yanga ipo vizuri sana. they don't need no one.
 
yanga kwa tetesi tu za wachezaji. ni kama wanataka kualibu mpira wetu sasa.

mid field ( chama, aziz, Aucho, mudathir, pacome, max, ndemla, farid, sure boy, Mkude, )

defence ( bacca, job, yao yao, lomalisa, kibwana, gift, 2 new defenders )

forward ( mzize, guede, dube, mpole, musonda)

🤔 hii team ukilinga tu benchi, it has vast of talent.

kuna cdm na 2 wingers bado wanaongezeka .
what is Hersi plan?? too many top players in one team it's not health??
Kinzumbi unamwachaje hapo?
 
Yanga wanshitaji beki namba 5 wa kueleweka. Kati ya Musando, Guede na Mzize, wawili wanapaswa kuondoka ili nafasi yao ijazwe na washambuliaji wanaojua kufamania nyavu.
Uvumilivu kwenye mchezo wa mpira wa miguu ni jambo la muhimu sana, Guede sio mchezaji wa kuachwa. Ni mchezaji anayeonekana katika maeneo muhimu na kwa matukio muhimu. Kwa muda mfupi aliocheza kawazidi magoli Mzize na Musonda.
 
yanga kwa tetesi tu za wachezaji. ni kama wanataka kualibu mpira wetu sasa.

mid field ( chama, aziz, Aucho, mudathir, pacome, max, ndemla, farid, sure boy, Mkude, )

defence ( bacca, job, yao yao, lomalisa, kibwana, gift, + 2 new defenders )

forward ( mzize, guede, dube, mpole, musonda)

🤔 hii team ukilinga tu benchi, it has vast of talent.

kuna cdm na 2 wingers bado wanaongezeka .
what is Hersi plan?? too many top players in one team it's not health??
Mo anauwa Simba aanzishe Mo fc ,Simba mtafute mwekezaji mwingine Simba is dying
 
Le kapiteni Bakari Nondo umemsahau, huyu bado ni mchezaji mzuri mno sema nyota yake imefifia tu. Form is temporary but class is permanent. Mechi na Zambia alicheza vizuri mno bila boko lolote!
 
Unampangiaje mtu matumizi ya pesa zake?
Tuliwambia , Chama ni bora kuliko aziz k mkawa mnabisha. Ona sasa , kila mchezaji wa Yanga anatamani kucheza na Chama timu Moja.

Mashabiki wanatamani chama acheze Yanga . Halafu siku mkimkosa mseme chama hawezi kupata namba Yanga .
 
Back
Top Bottom