Pettymagambo
JF-Expert Member
- Aug 21, 2017
- 1,490
- 8,227
Hakuna chezaji la kumweka benchi chama hapo utoni.amini anakuja kukaa benchi yanga. Hersi anakitu anatafuta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna chezaji la kumweka benchi chama hapo utoni.amini anakuja kukaa benchi yanga. Hersi anakitu anatafuta
Huu uandishi wako unaashiria huko Yanga kuna watu wajinga mno.yanga kwa tetesi tu za wachezaji. ni kama wanataka kualibu mpira wetu sasa.
mid field ( chama, aziz, Aucho, mudathir, pacome, max, ndemla, farid, sure boy, Mkude, )
defence ( bacca, job, yao yao, lomalisa, kibwana, gift, Nondo captain, + 2 new defenders )
forward ( mzize, guede, dube, mpole, musonda)
🤔 hii team ukilinga tu benchi, it has vast of talent.
kuna cdm na 2 wingers bado wanaongezeka .
what is Hersi plan?? too many top players in one team it's not health??
Huyo Dube ni wa muhimu sana Yanga, aletwe tu kwakweliyanga kwa tetesi tu za wachezaji. ni kama wanataka kualibu mpira wetu sasa.
mid field ( chama, aziz, Aucho, mudathir, pacome, max, ndemla, farid, sure boy, Mkude, )
defence ( bacca, job, yao yao, lomalisa, kibwana, gift, Nondo captain, + 2 new defenders )
forward ( mzize, guede, dube, mpole, musonda)
🤔 hii team ukilinga tu benchi, it has vast of talent.
kuna cdm na 2 wingers bado wanaongezeka .
what is Hersi plan?? too many top players in one team it's not health??
soma vizuri, 2 new defenders na cdm mmoja. forward ya yanga ipo vizuri sana. they don't need no one.
Uzuri wenye timu washajua ushambuliaji unapelea ndio maana wanamtafuta Dube.
Chama si keshamwingiza Mwamedi kingi? Nasikia kapandia dili la Yanga ili ambakishe unyamani!amini anakuja kukaa benchi yanga. Hersi anakitu anatafuta
Target ya Yanga ni CAF CL ili kuzima swala la ujenzi wa uwanja. Mimi mwananchi kuna vitu naviona ni kwa faida yetu ndio ila mantiki hasa ni nini? Chama ni mchezaji mzuri ila mshahara wake unaikamua timu haswa na wakati huo bado una wachezaji kariba ya Chama ambao ni regular starter.mpira wa bongo kukomoana tu. nothing new
Sidhani kama huu usajili unahusiana na ujenzi wa uwanja. Ujenzi wa uwanja upo kwenye mpango na unaendana sambamba na mradi wa bonde la Msimbazi.Target ya Yanga ni CAF CL ili kuzima swala la ujenzi wa uwanja. Mimi mwananchi kuna vitu naviona ni kwa faida yetu ndio ila mantiki hasa ni nini? Chama ni mchezaji mzuri ila mshahara wake unaikamua timu haswa na wakati huo bado una wachezaji kariba ya Chama ambao ni regular starter.
Nahisi hivi aseeh. Eng atujengee uwanja otherwise haitakua na maelewano mazuri hii kitu.
Sioni progress yoyote mkuu.Sidhani kama huu usajili unahusiana na ujenzi wa uwanja. Ujenzi wa uwanja upo kwenye mpango na unaendana sambamba na mradi wa bonde la Msimbazi.
chama yanga ni useless unless?? aziz lii anasepa.Target ya Yanga ni CAF CL ili kuzima swala la ujenzi wa uwanja. Mimi mwananchi kuna vitu naviona ni kwa faida yetu ndio ila mantiki hasa ni nini? Chama ni mchezaji mzuri ila mshahara wake unaikamua timu haswa na wakati huo bado una wachezaji kariba ya Chama ambao ni regular starter.
Nahisi hivi aseeh. Eng atujengee uwanja otherwise haitakua na maelewano mazuri hii kitu.
huku awezi. gamondi ni mkali Sana. hata amini. wataua kiwangoChama hamnamo mtu pale atakuja kutuletea shida za makolo tu huku.
siasa tuSioni progress yoyote mkuu.
Siyo kwamba Chama ni mrithi wa Aziz?yanga kwa tetesi tu za wachezaji. ni kama wanataka kualibu mpira wetu sasa.
mid field ( chama, aziz, Aucho, mudathir, pacome, max, ndemla, farid, sure boy, Mkude, )
defence ( bacca, job, yao yao, lomalisa, kibwana, gift, Nondo captain, + 2 new defenders )
forward ( mzize, guede, dube, mpole, musonda)
🤔 hii team ukilinga tu benchi, it has vast of talent.
kuna cdm na 2 wingers bado wanaongezeka .
what is Hersi plan?? too many top players in one team it's not health??
Pole sana km unamsubiri kinzumbi.Kinzumbi unamwachaje hapo?
possiblySiyo kwamba Chama ni mrithi wa Aziz?
Jamaa yupo nyuma sanaPole sana km unamsubiri kinzumbi.
Danger for DHatari sana.