Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,134
- 3,834
amini anakuja kukaa benchi yanga. Hersi anakitu anatafutaChama huyu huyu
Kutotumia akili, sasa hiyo pesa si wafanyie mambo mengineamini anakuja kukaa benchi yanga. Hersi anakitu anatafuta
Yanga wanshitaji beki namba 5 wa kueleweka. Kati ya Musando, Guede na Mzize, wawili wanapaswa kuondoka ili nafasi yao ijazwe na washambuliaji wanaojua kufamania nyavu.yanga kwa tetesi tu za wachezaji. ni kama wanataka kualibu mpira wetu sasa.
mid field ( chama, aziz, Aucho, mudathir, pacome, max, ndemla, farid, sure boy, Mkude, )
defence ( bacca, job, yao yao, lomalisa, kibwana, gift, 2 new defenders )
forward ( mzize, guede, dube, mpole, musonda)
🤔 hii team ukilinga tu benchi, it has vast of talent.
kuna cdm na 2 wingers bado wanaongezeka .
what is Hersi plan?? too many top players in one team it's not health??
mpira wa bongo kukomoana tu. nothing newKutotumia akili, sasa hiyo pesa si wafanyie mambo mengine
soma vizuri, 2 new defenders na cdm mmoja. forward ya yanga ipo vizuri sana. they don't need no one.Yanga wanshitaji beki namba 5 wa kueleweka. Kati ya Musando, Guede na Mzize, wawili wanapaswa kuondoka ili nafasi yao ijazwe na washambuliaji wanaojua kufamania nyavu.
Kinzumbi unamwachaje hapo?yanga kwa tetesi tu za wachezaji. ni kama wanataka kualibu mpira wetu sasa.
mid field ( chama, aziz, Aucho, mudathir, pacome, max, ndemla, farid, sure boy, Mkude, )
defence ( bacca, job, yao yao, lomalisa, kibwana, gift, 2 new defenders )
forward ( mzize, guede, dube, mpole, musonda)
🤔 hii team ukilinga tu benchi, it has vast of talent.
kuna cdm na 2 wingers bado wanaongezeka .
what is Hersi plan?? too many top players in one team it's not health??
yupo raja casabraca. sold and signed.Kinzumbi unamwachaje hapo?
Huyo huyoChama huyu huyu
Uvumilivu kwenye mchezo wa mpira wa miguu ni jambo la muhimu sana, Guede sio mchezaji wa kuachwa. Ni mchezaji anayeonekana katika maeneo muhimu na kwa matukio muhimu. Kwa muda mfupi aliocheza kawazidi magoli Mzize na Musonda.Yanga wanshitaji beki namba 5 wa kueleweka. Kati ya Musando, Guede na Mzize, wawili wanapaswa kuondoka ili nafasi yao ijazwe na washambuliaji wanaojua kufamania nyavu.
a good playerUvumilivu kwenye mchezo wa mpira wa miguu ni jambo la muhimu sana, Guede sio mchezaji wa kuachwa. Ni mchezaji anayeonekana katika maeneo muhimu na kwa matukio muhimu. Kwa muda mfupi aliocheza kawazidi magoli Mzize na Musonda.
Mo anauwa Simba aanzishe Mo fc ,Simba mtafute mwekezaji mwingine Simba is dyingyanga kwa tetesi tu za wachezaji. ni kama wanataka kualibu mpira wetu sasa.
mid field ( chama, aziz, Aucho, mudathir, pacome, max, ndemla, farid, sure boy, Mkude, )
defence ( bacca, job, yao yao, lomalisa, kibwana, gift, + 2 new defenders )
forward ( mzize, guede, dube, mpole, musonda)
🤔 hii team ukilinga tu benchi, it has vast of talent.
kuna cdm na 2 wingers bado wanaongezeka .
what is Hersi plan?? too many top players in one team it's not health??
captain nimesahau tu. bonge la mchezajiLe kapiteni Bakari Nondo umemsahau, huyu bado ni mchezaji mzuri mno sema nyota yake imefifia tu. Form is temporary but class is permanent. Mechi na Zambia alicheza vizuri mno bila boko lolote!
Unampangiaje mtu matumizi ya pesa zake?Kutotumia akili, sasa hiyo pesa si wafanyie mambo mengine
Tuliwambia , Chama ni bora kuliko aziz k mkawa mnabisha. Ona sasa , kila mchezaji wa Yanga anatamani kucheza na Chama timu Moja.Unampangiaje mtu matumizi ya pesa zake?