Yanga kama wanataka kutengeneza Tanzania galacticals +?

Huu uandishi wako unaashiria huko Yanga kuna watu wajinga mno.
 
Huyo Dube ni wa muhimu sana Yanga, aletwe tu kwakweli

Yanga ni Real Madrid ya Bongo
 
Chama kila mwaka anasajiliwa Yanga alafu anachezea Simba mambo mengine yanachekesha sana!
 
mpira wa bongo kukomoana tu. nothing new
Target ya Yanga ni CAF CL ili kuzima swala la ujenzi wa uwanja. Mimi mwananchi kuna vitu naviona ni kwa faida yetu ndio ila mantiki hasa ni nini? Chama ni mchezaji mzuri ila mshahara wake unaikamua timu haswa na wakati huo bado una wachezaji kariba ya Chama ambao ni regular starter.

Nahisi hivi aseeh. Eng atujengee uwanja otherwise haitakua na maelewano mazuri hii kitu.
 
Sidhani kama huu usajili unahusiana na ujenzi wa uwanja. Ujenzi wa uwanja upo kwenye mpango na unaendana sambamba na mradi wa bonde la Msimbazi.
 
chama yanga ni useless unless?? aziz lii anasepa.
 
Chama hamnamo mtu pale atakuja kutuletea shida za makolo tu huku.
 
Mkitaka kujua ubovu wa Chama nendeni Zambia, nashangaa huku bongo anavyotukuzwa u primitive umewajaa wabongo
 
Siyo kwamba Chama ni mrithi wa Aziz?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…