Klabu ya Yanga sc kesho ya mei 25 2024 watakabidhiwa kombe lao la Ligi kuu ya NBCPL ikiwa ni mara ya 3 mfululizo na timu pekee ambayo imelibeba kombe hilo tangu bank ya NBC kuwa wa dhamini wa Ligi kuu ya Tanzania.
Kombe hilo linatalajiwa kushuka na helikopta kwenye uwanja wa Benjamini Mkapa
Katika siku hiyo Yanga watacheza na Tabora United baada ya hapo watapewa kombe lao na sherehe zitaendelea
vipi Mwananchi au mshabiki utaenda kesho kwa Mkapa kushuhudia historia kubwa kama hii?