Yanga kama ccm tu... Ni ukiwa kila mahaliWanayanga ni km tumerogwa,hatuna hamasa si ndani wala nje ya uwanja.Hata tuhamasishwe vp tuko bardiiiiii!!! Viongozi nao wapo kimya wala hakuna mpango wowote wa kuwaita mashabiki kesho uwanjani. Tunampa jeuri sn Manara
Kama mochwari kwenye mafuliza ya wafuYanga Baridiiiiiii
Yanga kama ccm tu... Ni ukiwa kila mahali
Kaka yangu Haji manara Sisi wananchi tupo chini ya miguu yako, tunaomba utupigie tu-promo japo hata kidogo kwenye mechi yetu ya Leo angalau tuu hata ¼ ya uwanja ijaeee,
Nipo chini ya miguu yako kaka Kwa niaba ya wananchi wenzangu,
Tunajua mechi hatutashinda ila hata mapato tusipate???
Manara tusaidiee kaka Sisi wananchi masikini tusaidiee kaka!
Kuwa na huruma hata kidogo!
Sema kituu tupone kaka!
Tuongee tuu ukweli mwanayanga mwenzangu tunashindaje Kwa timu ilivyo hivi?? Unafikiri Town rollers wale ni Sawa na Moro kids?? Au ile timu ya kanisa tuliyofunga kule morogoro???Si vyema kuihusisha timu yetu ya Wananchi na huyo jamaa yako. Hata wakiingia mashabiki elfu 20, bado sisi wengine wa mikoani tutaiangalia timu yetu mwanzo mwisho kupitia Azam tv! Muhimu kwetu ni ushindi ili hao makhirikhiri waache kutuzoea! na siyo rekodi ya mashabiki kuingia uwanjani.
Acha kutafuta sifa kupitia Timu za watuWanayanga ni km tumerogwa,hatuna hamasa si ndani wala nje ya uwanja.Hata tuhamasishwe vp tuko bardiiiiii!!! Viongozi nao wapo kimya wala hakuna mpango wowote wa kuwaita mashabiki kesho uwanjani. Tunampa jeuri sn Manara
We utakuwa unavuta ugoroTuongee tuu ukweli mwanayanga mwenzangu tunashindaje Kwa timu ilivyo hivi?? Unafikiri Town rollers wale ni Sawa na Moro kids?? Au ile timu ya kanisa tuliyofunga kule morogoro???
Hakuna timu hapa, Bora hata timu ya msimu uliopita. Unamtegemea striker molenga anayehitaji chumba cha ft 20 Kwa 20 kukontroo Mpira?? Shiiit!
Mark hii post leo tunatolewa ligi ya mabingwa afrika.
Maombi yako unajiombea mwenyewe vibaya na mababu zako kina wawa ugenini huko,unafuatilia maisha ya watu wakati kwako kuna shida kibaoKaka yangu Haji manara Sisi wananchi tupo chini ya miguu yako, tunaomba utupigie tu-promo japo hata kidogo kwenye mechi yetu ya Leo angalau tuu hata ¼ ya uwanja ijaeee,
Nipo chini ya miguu yako kaka Kwa niaba ya wananchi wenzangu,
Tunajua mechi hatutashinda ila hata mapato tusipate???
Manara tusaidiee kaka Sisi wananchi masikini tusaidiee kaka!
Kuwa na huruma hata kidogo!
Sema kituu tupone kaka!
Tuongee tuu ukweli mwanayanga mwenzangu tunashindaje Kwa timu ilivyo hivi?? Unafikiri Town rollers wale ni Sawa na Moro kids?? Au ile timu ya kanisa tuliyofunga kule morogoro???
Hakuna timu hapa, Bora hata timu ya msimu uliopita. Unamtegemea striker molenga anayehitaji chumba cha ft 20 Kwa 20 kukontroo Mpira?? Shiiit!
Mark hii post leo tunatolewa ligi ya mabingwa afrika.
We utakuwa unavuta ugoro