Yanga kesho uwanja haujai,mapengo yatazidi mechi iliyopita

Yanga kesho uwanja haujai,mapengo yatazidi mechi iliyopita

Haji Manara ana mzigo mzito sana mana huwa anafikiria kwa niaba ya wanasimba wote. Asipowaza Manara basi mambo ndani ya simba yanabaki hivyohivyo
 
Huyo Molinga mbona hana sifa ya kuanza mechi ya leo kwa sababu alichelewa kusajiliwa. Kikosi cha msimu huu kina utofauti mkubwa na kikosi cha akina Kabwili na Dante kilichocheza msimu uliopita hadi kupoteza mechi ya awali na kwenda kutoa sare ugenini!

Hao Township rollers wenyewe hawana ukali wowote ule kuwazidi Yanga! Yanga iliyocheza na Kariobangi Sharks inau uwezo wa kufanya makubwa leo iwapo watazitumia vizuri nafasi watakazopata.

Muhimu tu ni kuwapuuza mashabiki wa simba watakao wazomea, na pia kutojishughulisha na siasa za idadi ya mashabiki watakao hudhuria hiyo mechi. Idadi ya mashabiki kuongezeka, itategemea na namna wanavyopata matokeo.
Utaambia nini wananchi?? Ngapi hapo taifa??

Sisi yanga hatuna timu hapa, tutapigwa Hadi tuchakaeee
 
Maombi yako unajiombea mwenyewe vibaya na mababu zako kina wawa ugenini huko,unafuatilia maisha ya watu wakati kwako kuna shida kibao
Mkuu vp?? Safari yetu ndio imeishia hapa.

Ligi kuu tutashika nafasi ya 4,

Timu mbovu kuliko ya mwaka Jana.
 
Yanga mna kazi kwelikweli kutufikia waume zenu. Mtatoka mapema tu CAF. Sijui mnaboronga wapi wake zetu. Nawaonea huruma sana 😂
 
Utaambia nini wananchi?? Ngapi hapo taifa??

Sisi yanga hatuna timu hapa, tutapigwa Hadi tuchakaeee

Mpira ni dk 90! ingawa nikiwa kama mdau wa michezo na pia shabiki wa Yanga, sijafurahishwa na hilo goli walilofungwa dk za awali na pia hiyo penati waliyoikosa!

Hali ikiendelea hivi na hawa wapuuzi wakitutoa tena, huenda tukaendelea kuishi maisha magumu sana bila shaka.
 
67803225_131035798169537_4531437144366907392_o.jpg
 
.
IMG-20190810-WA0170.jpeg
IMG-20190810-WA0166.jpeg

[emoji100][emoji100][emoji100][emoji100][emoji100][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji100][emoji100][emoji100][emoji100]
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Anayevuta ugoro ni mwinyi zahera, unamnunuaje pepsi BIG controo chumba??

Mimi siwezi kuwa mjinga wa kushabikia ujuha huu never
Mashabiki maandazi huwa hamkosekani hata Makambo mlimkataa
 
Back
Top Bottom