severinembena
JF-Expert Member
- Jun 2, 2018
- 2,435
- 2,402
Haji Manara ana mzigo mzito sana mana huwa anafikiria kwa niaba ya wanasimba wote. Asipowaza Manara basi mambo ndani ya simba yanabaki hivyohivyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mwenyekiti wa wavuta ugoro Tz,nisameheUgoro umekukosea nini!? We malizana na jamaa yako hivi vitu vingine viache havina tatizo na mtu.
Kamoko tayariUwanja mweupeee
Na tyr yanga wameshapigwa kimojaUwanja mweupeee
Acha utani.....! mapema yote hii.Kamoko tayari
Utaambia nini wananchi?? Ngapi hapo taifa??Huyo Molinga mbona hana sifa ya kuanza mechi ya leo kwa sababu alichelewa kusajiliwa. Kikosi cha msimu huu kina utofauti mkubwa na kikosi cha akina Kabwili na Dante kilichocheza msimu uliopita hadi kupoteza mechi ya awali na kwenda kutoa sare ugenini!
Hao Township rollers wenyewe hawana ukali wowote ule kuwazidi Yanga! Yanga iliyocheza na Kariobangi Sharks inau uwezo wa kufanya makubwa leo iwapo watazitumia vizuri nafasi watakazopata.
Muhimu tu ni kuwapuuza mashabiki wa simba watakao wazomea, na pia kutojishughulisha na siasa za idadi ya mashabiki watakao hudhuria hiyo mechi. Idadi ya mashabiki kuongezeka, itategemea na namna wanavyopata matokeo.
Mkuu vp?? Safari yetu ndio imeishia hapa.Maombi yako unajiombea mwenyewe vibaya na mababu zako kina wawa ugenini huko,unafuatilia maisha ya watu wakati kwako kuna shida kibao
Anayevuta ugoro ni mwinyi zahera, unamnunuaje pepsi BIG controo chumba??We utakuwa unavuta ugoro
Utaambia nini wananchi?? Ngapi hapo taifa??
Sisi yanga hatuna timu hapa, tutapigwa Hadi tuchakaeee
[emoji15][emoji15][emoji15]Mkuu acha kuifananisha yanga na huo ujinga. Tafadhali futa kauli yako kabla sijaongea na wazee wa Kwe Msisi ili wakugeuze msukule.
Mashabiki maandazi huwa hamkosekani hata Makambo mlimkataaAnayevuta ugoro ni mwinyi zahera, unamnunuaje pepsi BIG controo chumba??
Mimi siwezi kuwa mjinga wa kushabikia ujuha huu never