Yanga kesho uwanja haujai,mapengo yatazidi mechi iliyopita

Kamgomoli

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2018
Posts
1,896
Reaction score
4,058
Wanayanga ni km tumerogwa,hatuna hamasa si ndani wala nje ya uwanja.Hata tuhamasishwe vp tuko bardiiiiii!!! Viongozi nao wapo kimya wala hakuna mpango wowote wa kuwaita mashabiki kesho uwanjani. Tunampa jeuri sn Manara
 
Kaka yangu Haji manara Sisi wananchi tupo chini ya miguu yako, tunaomba utupigie tu-promo japo hata kidogo kwenye mechi yetu ya Leo angalau tuu hata ¼ ya uwanja ijaeee,

Nipo chini ya miguu yako kaka Kwa niaba ya wananchi wenzangu,

Tunajua mechi hatutashinda ila hata mapato tusipate???

Manara tusaidiee kaka Sisi wananchi masikini tusaidiee kaka!

Kuwa na huruma hata kidogo!

Sema kituu tupone kaka!
 
Si vyema kuihusisha timu yetu ya Wananchi na huyo jamaa yako. Hata wakiingia mashabiki elfu 20, bado sisi wengine wa mikoani tutaiangalia timu yetu mwanzo mwisho kupitia Azam tv! Muhimu kwetu ni ushindi ili hao makhirikhiri waache kutuzoea! na siyo rekodi ya mashabiki kuingia uwanjani.
 
Tuongee tuu ukweli mwanayanga mwenzangu tunashindaje Kwa timu ilivyo hivi?? Unafikiri Town rollers wale ni Sawa na Moro kids?? Au ile timu ya kanisa tuliyofunga kule morogoro???

Hakuna timu hapa, Bora hata timu ya msimu uliopita. Unamtegemea striker molenga anayehitaji chumba cha ft 20 Kwa 20 kukontroo Mpira?? Shiiit!

Mark hii post leo tunatolewa ligi ya mabingwa afrika.
 
Wanayanga ni km tumerogwa,hatuna hamasa si ndani wala nje ya uwanja.Hata tuhamasishwe vp tuko bardiiiiii!!! Viongozi nao wapo kimya wala hakuna mpango wowote wa kuwaita mashabiki kesho uwanjani. Tunampa jeuri sn Manara
Acha kutafuta sifa kupitia Timu za watu
 
Tuongee tuu ukweli mwanayanga mwenzangu tunashindaje Kwa timu ilivyo hivi?? Unafikiri Town rollers wale ni Sawa na Moro kids?? Au ile timu ya kanisa tuliyofunga kule morogoro???

Hakuna timu hapa, Bora hata timu ya msimu uliopita. Unamtegemea striker molenga anayehitaji chumba cha ft 20 Kwa 20 kukontroo Mpira?? Shiiit!

Mark hii post leo tunatolewa ligi ya mabingwa afrika.
We utakuwa unavuta ugoro
 
Kaka yangu Haji manara Sisi wananchi tupo chini ya miguu yako, tunaomba utupigie tu-promo japo hata kidogo kwenye mechi yetu ya Leo angalau tuu hata ¼ ya uwanja ijaeee,

Nipo chini ya miguu yako kaka Kwa niaba ya wananchi wenzangu,

Tunajua mechi hatutashinda ila hata mapato tusipate???

Manara tusaidiee kaka Sisi wananchi masikini tusaidiee kaka!

Kuwa na huruma hata kidogo!

Sema kituu tupone kaka!
Maombi yako unajiombea mwenyewe vibaya na mababu zako kina wawa ugenini huko,unafuatilia maisha ya watu wakati kwako kuna shida kibao
 
Tuongee tuu ukweli mwanayanga mwenzangu tunashindaje Kwa timu ilivyo hivi?? Unafikiri Town rollers wale ni Sawa na Moro kids?? Au ile timu ya kanisa tuliyofunga kule morogoro???
Hakuna timu hapa, Bora hata timu ya msimu uliopita. Unamtegemea striker molenga anayehitaji chumba cha ft 20 Kwa 20 kukontroo Mpira?? Shiiit!
Mark hii post leo tunatolewa ligi ya mabingwa afrika.

Huyo Molinga mbona hana sifa ya kuanza mechi ya leo kwa sababu alichelewa kusajiliwa. Kikosi cha msimu huu kina utofauti mkubwa na kikosi cha akina Kabwili na Dante kilichocheza msimu uliopita hadi kupoteza mechi ya awali na kwenda kutoa sare ugenini!

Hao Township rollers wenyewe hawana ukali wowote ule kuwazidi Yanga! Yanga iliyocheza na Kariobangi Sharks inau uwezo wa kufanya makubwa leo iwapo watazitumia vizuri nafasi watakazopata.

Muhimu tu ni kuwapuuza mashabiki wa simba watakao wazomea, na pia kutojishughulisha na siasa za idadi ya mashabiki watakao hudhuria hiyo mechi. Idadi ya mashabiki kuongezeka, itategemea na namna wanavyopata matokeo.
 
Manara Hana mchango wowote..eda ya miaka mitano ndio inafanya mikia wawe na hamasa
 
Back
Top Bottom