Yanga kesho uwanja haujai,mapengo yatazidi mechi iliyopita

Haji Manara ana mzigo mzito sana mana huwa anafikiria kwa niaba ya wanasimba wote. Asipowaza Manara basi mambo ndani ya simba yanabaki hivyohivyo
 
Utaambia nini wananchi?? Ngapi hapo taifa??

Sisi yanga hatuna timu hapa, tutapigwa Hadi tuchakaeee
 
Maombi yako unajiombea mwenyewe vibaya na mababu zako kina wawa ugenini huko,unafuatilia maisha ya watu wakati kwako kuna shida kibao
Mkuu vp?? Safari yetu ndio imeishia hapa.

Ligi kuu tutashika nafasi ya 4,

Timu mbovu kuliko ya mwaka Jana.
 
Yanga mna kazi kwelikweli kutufikia waume zenu. Mtatoka mapema tu CAF. Sijui mnaboronga wapi wake zetu. Nawaonea huruma sana 😂
 
Utaambia nini wananchi?? Ngapi hapo taifa??

Sisi yanga hatuna timu hapa, tutapigwa Hadi tuchakaeee

Mpira ni dk 90! ingawa nikiwa kama mdau wa michezo na pia shabiki wa Yanga, sijafurahishwa na hilo goli walilofungwa dk za awali na pia hiyo penati waliyoikosa!

Hali ikiendelea hivi na hawa wapuuzi wakitutoa tena, huenda tukaendelea kuishi maisha magumu sana bila shaka.
 
.
[emoji100][emoji100][emoji100][emoji100][emoji100][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji100][emoji100][emoji100][emoji100]
 
Reactions: PNC
Anayevuta ugoro ni mwinyi zahera, unamnunuaje pepsi BIG controo chumba??

Mimi siwezi kuwa mjinga wa kushabikia ujuha huu never
Mashabiki maandazi huwa hamkosekani hata Makambo mlimkataa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…