Yanga kesho uwanja haujai,mapengo yatazidi mechi iliyopita

Nyie majirani na mabwana Zetu muwe mnatusaidia jamani peke yetu hatuwezi

Tunashukuru mmetubeba kutuingizia champion ligi lakini hatuwezi peke yetu

Msaada wenu ni wa muhimu sana
Mkuu umenichekesha 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Yanga imekuwa bora sana kuliko msimu uliopita wakipiga mpira
 
Yanga muko baridi sana.
Kwanini hamuujazi uwanja ilihali timu inahitaji pesa ?
Na mnajinadi muko wengi timu ya wananchi ?
Mbona siku ya mwananchi muliujaza...!
Kuko Kupi Kuuwingi Kukwenu..!
 
Timu ya wananchi na wåʼnanchi wqnajua majukumu yao kwa timu yao, nyie mshazoea msemaji wenu hamuendi mpaka atapike pumba kwėnye media huo ni umbumbumbu
TUPE MREJESHO. VP UWANJA ULIJAA? DADADEQ ZAKO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…