OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Yanga ipo ugenini,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuonee huruma Sisi wananchi hatujitambuiii, maskini Sisi.Yanga mna kazi kwelikweli kutufikia waume zenu. Mtatoka mapema tu CAF. Sijui mnaboronga wapi wake zetu. Nawaonea huruma sana [emoji23]
Nyie majirani na mabwana Zetu muwe mnatusaidia jamani peke yetu hatuweziYanga ipo ugenini,
Mkuu umenichekesha 🤣🤣🤣🤣🤣Nyie majirani na mabwana Zetu muwe mnatusaidia jamani peke yetu hatuwezi
Tunashukuru mmetubeba kutuingizia champion ligi lakini hatuwezi peke yetu
Msaada wenu ni wa muhimu sana
BHAELEZEEETimu ya wananchi na wåʼnanchi wqnajua majukumu yao kwa timu yao, nyie mshazoea msemaji wenu hamuendi mpaka atapike pumba kwėnye media huo ni umbumbumbu
TUPE MREJESHO. VP UWANJA ULIJAA? DADADEQ ZAKOTimu ya wananchi na wåʼnanchi wqnajua majukumu yao kwa timu yao, nyie mshazoea msemaji wenu hamuendi mpaka atapike pumba kwėnye media huo ni umbumbumbu
Mateso ya 1 - 1 HOMESimba mshananza kuteseka.Hahahaa