SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Vibwengo wa Utopolo ni shiiiiidaKocha msaidizi si ana dread?Ndio chaguo la utopolo.Wakiona pia mchezaji ana dread wanasajili.Sarpong ni jina linalotumika kutishia tu kwani utopolo ni watu wa maneno.Sar-ponG! Ina sound kama shuti kali!Hawa uto akili yao wanaijua wenyewe