NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Upuuzi mtupu sijawahi onaDogo ni limbukeni...hukuti mambo hayo nchi nyingine.
Hata Yanga wenyewe wanamkosoa....
Amejiharibia image yake....
Hizo nchi nyingine unakuta maneno ya kombe la looser?Watu kuingia na jeneza uwanjani?watu kuitwa Maiti?Dogo ni limbukeni...hukuti mambo hayo nchi nyingine.
Hata Yanga wenyewe wanamkosoa....
Amejiharibia image yake....
Kweli kabisa huo ni ujuhaWaharibu sana sifa ya Yanga
Mimi ni yanga lakini hili siliungi mkono.Halafu watu ndio wanakuambia eti mashabiki wa yanga wako humble sana hawana vurugu mashabiki wa simba ndio wakorofi na wana misifa
Habari mnazo sema mnajikausha tu.Mbona Simba hatuna habari?.
Kama wakiwa na akili .Sasa hizo akili zenyewe ziko wapi? Waache wachekekesheSijawahi kuona Barcelona au Real Madrid ama derby ya za England wakifanya upuuzi Kama huo.
Ally kamwe na kikundi chako mlichodhamiria kukifanya hakika ni ujuha/ umbumbumbu hii haina tofauti na unbiten mwaisho wa siku wachezaji wakapumbazika wakapikwa na timu iliyokua inashika mkia kwenye msimamo wa ligi (ihefu).
Kwa Nini isifanyike hiyo party baada ya kuchukua kombe la shirikisho au baada ya kutolewa??
NALIA NGWENA ( shabiki yanga lialia) siungi napinga wazo la kufanya party ya kumcheka mtani.
Nawasilisha.
Umejuaje hawajaweka akili huko,,, labda haya pia ni makelele ya kuwatoa baadhi ya watu kwenye relimambo ya ajabu sana,wanaacha kuweka akili yao kwenye michezo ijayo wanahangaika kuwacheka
Si walivunja viti taifaHalafu watu ndio wanakuambia eti mashabiki wa yanga wako humble sana hawana vurugu mashabiki wa simba ndio wakorofi na wana misifa
Kwani lini UTOPOLO WALIKUWA NA AKILI?????Sijawahi kuona Barcelona au Real Madrid ama derby ya za England wakifanya upuuzi Kama huo.