NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
- Thread starter
- #61
Anatufedhehesha mashabiki.Yule aliambiwa na mashimo ana matatizo ya akili hamkumuelewa
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anatufedhehesha mashabiki.Yule aliambiwa na mashimo ana matatizo ya akili hamkumuelewa
Ila dogo kichwa kitupu yule, anaharibu image ya Yanga yetu.Sijawahi kuona Barcelona au Real Madrid ama derby ya za England wakifanya upuuzi Kama huo.
Ally kamwe na kikundi chako mlichodhamiria kukifanya hakika ni ujuha/ umbumbumbu hii haina tofauti na unbiten mwaisho wa siku wachezaji wakapumbazika wakapikwa na timu iliyokua inashika mkia kwenye msimamo wa ligi (ihefu).
Kwa Nini isifanyike hiyo party baada ya kuchukua kombe la shirikisho au baada ya kutolewa??
NALIA NGWENA ( shabiki yanga lialia) siungi napinga wazo la kufanya party ya kumcheka mtani.
Nawasilisha.
Mimi yanga lakini siungi mkono huo upuuziIla dogo kichwa kitupu yule, anaharibu image ya Yanga yetu.
Wachache wanamsapoti huyo dogo.Kwani mawazo ya Ally Kamwe ndo mawazo ya Yanga…???
Wanasema kwa kuingia nusu fainali, Yanga imeshaondoka nafasi ya 28 Afrika ipo 22.Simba ni 8 Afrika.
Yanga 28 Afrika.
MBAKA HAPA Simba Ina 1.5 BILIONI Moja na Milioni mia Tano.
Yanga Bilioni 1.
Simba ana super cup.
Simba ana BILIONI 4 super cup.
1. Nimefikiria vizuri NIMEONA watucheke iwe ni Njia ya Simba kupambana Hadi kufa Ili wafikie Fainali ya KLABU BINGWA misimu ya mbeleni.
2. Wameboresha utani WA jadi na kuingiza pesa... Ref arsenal na spars....
3.Wamepeleka timu Hadi kwa watu wajisajili na kujiunga na yanga.
KONGOLE KWAO.....
Hakuna mtu anayepiga event,watu wanashangaa content behind the event,ni ujinga tu,hakuna ubunifu.Hakuna ujuha wala ujinga.... Acha watu watoe fursa kupitia current situation asee!!. Unajua wangapi watanufaika kupitia hiyo event?, Fikiria nje ya box mpira sasa ni fursa ndani ya uwanja hata nje ya uwanja.
Kweli yule njiti,akili ziko puani.Yule aliambiwa na mashimo ana matatizo ya akili hamkumuelewa
NI hatari sanaIla uongozi wa Yanga ukitoa Nabi wana utoto sana.